TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

Innallillahi...

MMungu awape subra ...

Misiba inaongozana...

Familia isimame kweli isije kutetereka...
 
Sasa kama mmeambiwa mchanje mnamsikiliza gwajima mnataka huyo majaliwa na samia wawafunge kwa kamba?
 
Hali siyo nzuri. Hawa ni wale maarufu tunaowasikia.
Siku zote maisha ndio yapo hivyo, jaribu kukaa japo masaa kadhaa kwenye hospitali kubwa kama Amana au Muhimbili na kuzingatia jinsi vile watu wanavyoteseka na maradhi na jinsi wanavyopeteza maisha.
 
Huenda ni kwel mkuu, black tuna ufukara sn sababu ya roho mbaya
Sio roho mbaya bali tumekariri kufanikiwa maisha ni kusoma na kuajiriwa, unakuta brother amesoma ameajiriwa kazi nzuri tu ila ana wadogo zake wapo wapo tu hawezi kuwasaidia kwa sababu hawana elimu.
 
Sasa kama mmeambiwa mchanje mnamsikiliza gwajima mnataka huyo majaliwa na samia wawafunge kwa kamba?
Hivi Tanzania tatizo ni kutokuchanja au kutozingatia taratibu za kujikinga na corona? maana tunasikia wenzetu wanalegeza masharti ya kupambana na corona baada ya kuchanja watu wao kwa wingi ila tulishalegeza masharti kabla ya chanjo halafu ndio tunaona tatizo ni Gwajima.
 
Jiran na Chimala primary
 
Yah biashara ya lorry alikuwaga inspired na kaka yake mmja yuko Australia aliendaga kitambo
Na alikuwa anafanya kazi za kuendesha malori huko

Ova
Hapana alieko australia ni dada yao sophy ameolewa huko
 
Acha lawama kachanje
 
Sasa kama mmeambiwa mchanje mnamsikiliza gwajima mnataka huyo majaliwa na samia wawafunge kwa kamba?

Suala la chanjo ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri na bila shaka huelewi kwanini madaktari wanasisitiza watu kuchanjwa kwa lazima kwani inawaweka wao hatarini japo wamechanjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…