Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Kwanza amekustahi sana, angekua mwingine angesema kama inakuuma akuvulie mwenyewe umsaidie.
 
Nilishawai kumkaripia na kumpiga mdgo angu mam akanijia juu kuwa nimuache nizae wakwangu mm

Babu kausha tu acha alete kiburi soon Ni single mama ingawa nayo serekali imeruhusu warudishwe shule ila tulia aendele na uhun wake
 
Halafu kuna majitu mnashauri u qummer, heshima ifuate mkondo, kuleta ushauri si tiketi ya kushauri us4ng3 us3ng e hapa. Tuheshimiane tafadhali.!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Inaonekana mnatoka ukoo wa matusi. Wewe mtu yuko JF, hamfahamiani, unamtukana. Ukitukanwa na mtu mnayefahamiana kiundani unashangaa.
 
Kiukweli mi mdogo wangu nikimtuma kitu afu akatae kwa kunijibu nyodo, ntampapasa na makofi mixer makwenzi mwenyewe atafurahi, ila nkisikia anafanywa matusi na flani sinaga jeuri hata ya kumuuliza ila huyo fulani ndo atachezea ngwara za kufa mtu ili amuogope mdogo wangu.
Nb. Power of love overcome love of power
 
Unamfilimba mdogo wako ndo maana wivu haukuishi
 
Kwa hiyo mtoa post asimkanye mdogo wake kisa nini? Kuna watu mna IQ ndogo mno ku process mambo.
Kuna lugha na namna ya kuongea na mkubwa mwenzio.

Mkuu, na wewe unakanywa sana?
 
Itakuja siku utaambiwa "kaka nipe wee kile anachonipa yule unaempigaga ngwara" sijui utasemaje lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuja siku utaambiwa "kaka nipe wee kile anachonipa yule unaempigaga ngwara" sijui utasemaje lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haiwezekani hiyo kwa sababu nishajenga heshima kwa kutomuuliza tuhuma za kikubwa, hivyo hawezi pata ujasiri wa kuniuliza swali la kikubwa namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…