Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Mku miaka 20 huyo mke wa mtu mtafuteni msela mumwambie amsubirie amalize 4 amchukue mkewe
 
Kwamba mtoto yupo form 4 halafu ana miaka? Kwanini mlimchelewesha shule hivo? Mbona huo ni umri mkubwa sana; nakupa pole but ukweli huyo ni mtu mzima sana, angekua mwanao then asingweza kukwambia hivo but kwa kua ni dada/mdogo wako then anajihisi ni kama mpo sawa tu.
 

Kuna mama mmoja alikuwa anamlinda sana bintiye

Yaani binti harusiwi kutembea mwenyewe Mtaani kokote atakapokwenda anaongozana na mdogo wake lounge

Sasa alipomaliza form six akaenda hizo college za afya semester ya kwanza wakapiga Mombasa
 
Kuna mama mmoja alikuwa anamlinda sana bintiye

Yaani binti harusiwi kutembea mwenyewe Mtaani kokote atakapokwenda anaongozana na mdogo wake lounge

Sasa alipomaliza form six akaenda hizo college za afya semester ya kwanza wakapiga Mombasa
Mmmmmmh
 
Mie nimesha kuelewa sana, afadhari umenipa na faida ya kujua kitu, naomba nkuulize, hivi mtu hadi akaamua kuwa ktk mahusiano ya kimapenzi anakuwa hajui nn anafanya? Hata km n mwanafunzi wa 4m 1?

Naomba nijibu kwa ustaarabu, hata km swali oa kijinga?
Am little bit old skool, sidhani kama jibu langu litakufaa

Ila pia inategemeana na familia unayotoka, kwa aliyetoka mbavuni ni tofauti na yule wa magetini, wa mbavuni anamuona dada yake ni asset kwamba anatakiwa asome, afaulu, apate ajira, afanye maisha then akomboe ukoo.

Ila kama we ni wa magetini utamuacha kivyovyote as long as her future is totally guaranteed.

Anajua anachokifanya ila hajui kama anaongozwa na hisia (genye mshindo) ila uhalisia ni kujiaribia maisha kwa mimba zisizo na matarajio, na kupoteza focus kwenye masomo only to end up failure as* b*tch
 
Shida ilianzia hapo kwenye miaka 20 form four..!
Unategemea nini lazima wahuni wajigongee kama nyagi tu.

Muache kidogo dunia itamnyoosha kama akizembea masomo, vitoto vya siku hivi vinagongwa na vipo smart..
 
Angalau wewe umeshauri vema, si hawa mi k# nd#
 
Radhi? Whats Radhi? Hapa hakuna cha radhi wala nini, nimekata mazoea, nimeona ni upuuzi tu mkuu
 
Atleast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…