Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Sawa

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hapana, nimetembelea kwa washua leo nikakuta anasemwa.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Hapo alighafilika tu basi kama ulimkuta anasemwa ina maana hakuwa katika mood nzuri wala usimuhukumu.

Ni sawa na wewe mtu kakuvuruga mnataka mzichape af aje demu wako ghafla aseme nakupenda Jax unaweza hata ukamsukumizia mbali ila sio kuwa humpendi, mood tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…