Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hama nyumbani kakaHuyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.
Sasa leo nimekuja hapa home nimekuta wanamsema huyu mdogo wangu, kuhusu tabia za kihuni. Mimi kama kaka mwenye uchungu na kuharibikiwa kwake nikalazimika kuvunga ili baadaye nimuulize. Sasa hatimaye nikapata nafasi nikamuuliza shida nini, akasema wanamsingizia ameanza uhuni. Nikamshauri sana na kumuambia asome kwa bidii, ukizingatia nimemzidi miaka 6.
Akanijibu na kuniambia niache mambo ya kike, niwe kama mwanaume na nisimfuatilie fuatilie. Sikuamini kwa kauli hii, nusu nizimie kwa kweli. Mpaka muda huu bado siamini, kosa langu lipi?
Je, au ndio haitakiwi kumpenda na kuzoeana na mdogo wako wa kike? Kumsisitiza kusoma ni kosa? Nimeukumbuka uzi humu wa jamaa akisema hakuna kucheka cheka na mwanamke awe ndugu yako au mtu baki, nimeamini sasa. Mbaya zaidi haya matusi amesikia mpaka house girl, ambaye tulikuwa tunaheshimiana sana. Hivi nitamuangaliaje usoni? Kifupi sipo sawa, bora angekuwa mtoto ndiye amenitukana, ila huyu binti wa form four mwenye akili timamu mwenye miaka 20 hapana.
Bado sijaamini! Sijui cha kuomba ni nini, ushauri au... Nashindwa ku type sipo sawa.
K#M# weweAcheni kufuatilia ma baby zetu na bado mtadhalilishwa sana
Labla Mekwa
Miaka 20 form four huyo kachelewa Sana kuanza shule aisee . Umri huo alistahili kuepo form six na pia miaka 20 huyo sio mtu wa kumuamuliia ishu nzima ya mahusiano kabisaHuyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.
Sasa leo nimekuja hapa home nimekuta wanamsema huyu mdogo wangu, kuhusu tabia za kihuni. Mimi kama kaka mwenye uchungu na kuharibikiwa kwake nikalazimika kuvunga ili baadaye nimuulize. Sasa hatimaye nikapata nafasi nikamuuliza shida nini, akasema wanamsingizia ameanza uhuni. Nikamshauri sana na kumuambia asome kwa bidii, ukizingatia nimemzidi miaka 6.
Akanijibu na kuniambia niache mambo ya kike, niwe kama mwanaume na nisimfuatilie fuatilie. Sikuamini kwa kauli hii, nusu nizimie kwa kweli. Mpaka muda huu bado siamini, kosa langu lipi?
Je, au ndio haitakiwi kumpenda na kuzoeana na mdogo wako wa kike? Kumsisitiza kusoma ni kosa? Nimeukumbuka uzi humu wa jamaa akisema hakuna kucheka cheka na mwanamke awe ndugu yako au mtu baki, nimeamini sasa. Mbaya zaidi haya matusi amesikia mpaka house girl, ambaye tulikuwa tunaheshimiana sana. Hivi nitamuangaliaje usoni? Kifupi sipo sawa, bora angekuwa mtoto ndiye amenitukana, ila huyu binti wa form four mwenye akili timamu mwenye miaka 20 hapana.
Bado sijaamini! Sijui cha kuomba ni nini, ushauri au... Nashindwa ku type sipo sawa.
Yule mamaako mzazi aliyekuleta duniani ndio ana K#M# mkuu mimi nina coockK#M# wewe
Labda memkwa
mtoto akililia wembe mpeBaadae apate mimba zisizo eleweka, alete shida home & brother kupigwa vizinga vya dawa za mtoto (uncle)
Mabinti bhana