Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.

Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta ..Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana.
Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa imenibidi nisafiri ndio nimeeingia saivi dar maana nilikuwa dom.
Yani dogo katumia uzaifu wa wazee kaona anawamudu kwa hiyo katokomea alipotokomea...nimefatilia RB,...nimepeleleza kwa rafiki yake akadai kuna boda ndio huwa anaonekana nae....Sasa shida inakuja namna ya kumtaiti huyu boda maana naingia gharama ambazo ni nyingi za usafiri na ufatiliaji...hivi kitu kama hiki kama kilishatokea mlifanyaje wakuu...kichwa ni kinauma sana wakuu ....jua kali mno kumtafuta mtu aliyejificha.
Hawa vijana wa bodaboda ni wapumbavu sana, na target yao ni wanafunzi kwa sababu ni rahisi kuwarubuni.

Mimi kuna jirani hapa binti yake alikua anasoma bweni karudi na mimba ya miezi minne kabanwa kamtaja boda na uyo bodaboda kaikataa mimba.

Binti wa form two anaenda kuwa single mother. Jamii inafeli katika malezi ya mtoto wa kike, mabinti wanaachiwa uhuru usiokua na mipaka, mkubwa ukijaribu kuwa mkali unaandamwa.
 
Pole sana mkuu. Dogo yuko kwa boda anachezea mashine. Hawa madogo wa miaka 16 hadi 19 ambao ndio wanapevuka ni kama vichaa, wakipigwa pipe mara moja ama 2 wakajua utamu wake hua wanakua vichaa, yaani hapo alikua anaiwaza muda wote akiwa shuleni, alivyopata tu chance ya kumaliza ameikimbilia.

Huyo boda kwa sasa huna namna ya kum tight, wewe mchukue dogo umrudishe nyumbani kama umempata, mpe tu nasaha maana ukimpiga anarudi kwa boda kupooza machungu ya kipigo kwa utamu wa mashine.
Yap kabisa...,ninaplan kesho nipajue gheto kwa boda nimalizie kazi kisha niendelee na ratiba zangu
 
Muulize rafiki yake huyo Boda anapaki kituo Gani!?

Ama nenda kituo Cha Bodaboda jirani na anapoishi Binti, tafuta Boda mmoja, mtie mkwanja kidogo, muonyeshe Picha ya Binti, utapata taarifa za wapi alipo Binti Yako....!

Peleke Wazee.......! Kijana atafunguliwa Kesi ya Ubakaji, Watakuja Ndugu zake ndo unawapa gharama zako ulizotumia... Unawaambia watoe Million 3 kama gharama ulizotumia then utafuta Kesi, yataenda kuuzwa Mashamba Kijijini kwao mpaka itimie Hiyo Pesa...!

Hivyo ndo wenzako hufanya.
 
Hapo ndo unakuwa umemkomesha.
 
Mdogo wangu wa kike

Baba mdogo alimchapa kwa sababu alimnunuliaa gauni zuri, yeye dada akaenda kulimodoa.

Alipochapwa akaja kwangu saa 3 usiku akidai baba yake kampiga na panga

Nikamweleza wife akamkague. Hakupigwa na panga alidanganya tu

Usiku ule nikamchukua nikampeleka nyumbani kwa bi mkubwa. Sikutaka kukaa nae kwangu mambo yake yalinishinda kitambo

Kesho Yake nikamkuta kwa bi mkubwa bado hajarudi kwao. Nikamtimua arudi kwa baba yake, maana home bi mkubwa anashinda kwenye Maduka yake kkoo home mchana hakuna watu zaidi ya dada wa kazi

Alipoondoka aliensa anapopajua mpaka leo hii karibia two years hajarudi

Kuna jamaa alimwona mitaa ya buguruni ana mtoto. Yani kuna ntu kamtia mimba anaishi nae huko

Baba yake alikuwa anasikitika kila siku mawazo Tele. Nilichomwambia "mzee una watoto wanne, acha kuhangaika na mmoja unashindwa kulea wengine".

Ingawa mchungaji aliacha kondoo 99 wajichunge wenyewe akaenda kumuokoa yule mmoja aliyepotea. - my thinking was different at the moment😄

Hajarudi mpaka leo, hawa watoto wanaweza kukua kwa presha. Hawajali
 
Duuh juzi Kuna bodaboda kalawitiwa huku mtaani kisa katembea na mwanafunzi aisee huyu kaka mtu kamfanya kitu kibaya sana huyu boda kisa chake kinafanana na chako Naye dogo anasumbua wazee broo wake ni katinga home kadokezewa Kuna boda anamzuzua mdogo wake wakamuwekea mtego wakamlawiti boda huku wanamrekodi aisee
 
Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.

Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana.

Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa imenibidi nisafiri ndio nimeeingia saivi Dar maana nilikuwa Dodoma.

Yani dogo katumia uzaifu wa wazee kaona anawamudu kwa hiyo katokomea alipotokomea nimefatilia RB,...nimepeleleza kwa rafiki yake akadai kuna boda ndio huwa anaonekana nae....

Sasa shida inakuja namna ya kumtaiti huyu boda maana naingia gharama ambazo ni nyingi za usafiri na ufatiliaji. Hivi kitu kama hiki kama kilishatokea mlifanyaje wakuu...kichwa ni kinauma sana wakuu ....

Jua kali mno kumtafuta mtu aliyejificha.
Kama umeshajua yuko kwa bwana salama, achane nae,wwe endelea na maisha yako ,dogo kesha kua na anajitafutia himaya yake!!
 
Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.

Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana.

Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa imenibidi nisafiri ndio nimeeingia saivi Dar maana nilikuwa Dodoma.

Yani dogo katumia uzaifu wa wazee kaona anawamudu kwa hiyo katokomea alipotokomea nimefatilia RB,...nimepeleleza kwa rafiki yake akadai kuna boda ndio huwa anaonekana nae....

Sasa shida inakuja namna ya kumtaiti huyu boda maana naingia gharama ambazo ni nyingi za usafiri na ufatiliaji. Hivi kitu kama hiki kama kilishatokea mlifanyaje wakuu...kichwa ni kinauma sana wakuu ....

Jua kali mno kumtafuta mtu aliyejificha.
Mwacheni aolewe, mnamtafuta wa nini?
 
Back
Top Bottom