Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IraqNa hizi mvua mvua hizi, atakuwa anachezea bakora.
Ni nchi gani ile iliyopendekeza binti aolewe akiwa na miaka 9?
Usihangaike mkuu kama ametoroka mwenyewe nyumbani atarudi mwenyewe, huyo ni kama mwana mpotevu.Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.
Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana.
Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa imenibidi nisafiri ndio nimeeingia saivi Dar maana nilikuwa Dodoma.
Yani dogo katumia uzaifu wa wazee kaona anawamudu kwa hiyo katokomea alipotokomea nimefatilia RB,...nimepeleleza kwa rafiki yake akadai kuna boda ndio huwa anaonekana nae....
Sasa shida inakuja namna ya kumtaiti huyu boda maana naingia gharama ambazo ni nyingi za usafiri na ufatiliaji. Hivi kitu kama hiki kama kilishatokea mlifanyaje wakuu...kichwa ni kinauma sana wakuu ....
Jua kali mno kumtafuta mtu aliyejificha.
================
Nilichopanga Kufanya
================
Kesho nimejipanga nianzie shuleni alikokuwa akisoma,..kisha niwaelezee walimu wake situation nzima...baada ya hapo nitamuomba rafiki yake ...na binti ...anipe ushirikiano wa kunionesha huyu boda aliyemchukua mdogo wangu...sitaki nimuingize huyo rafiki wa binti kwenye majanga ...kisha nikishamjua nitamkodi hadi gogoni kituo cha polisi nikifika pale ...nitamwambia aingie tu hmna wasiwasi ...
Nitawaeleza polisi kila kitu kisha tutamnasa kirahisi sana...
Mods onganisheni huu uzi na ule niliouweka awali...
Ngoja ukanasie huko kumbuka bado hujampata dogo.Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.

Si kuandamwa tu haki za Binadamu zitakushukia kwa kasi ya 5G kama mpira wa kona.Hawa vijana wa bodaboda ni wapumbavu sana, na target yao ni wanafunzi kwa sababu ni rahisi kuwarubuni.
Mimi kuna jirani hapa binti yake alikua anasoma bweni karudi na mimba ya miezi minne kabanwa kamtaja boda na uyo bodaboda kaikataa mimba.
Binti wa form two anaenda kuwa single mother. Jamii inafeli katika malezi ya mtoto wa kike, mabinti wanaachiwa uhuru usiokua na mipaka, mkubwa ukijaribu kuwa mkali unaandamwa.
Nae kashasoma hii ya kumkodi.Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.
Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana.
Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa imenibidi nisafiri ndio nimeeingia saivi Dar maana nilikuwa Dodoma.
Yani dogo katumia uzaifu wa wazee kaona anawamudu kwa hiyo katokomea alipotokomea nimefatilia RB,...nimepeleleza kwa rafiki yake akadai kuna boda ndio huwa anaonekana nae....
Sasa shida inakuja namna ya kumtaiti huyu boda maana naingia gharama ambazo ni nyingi za usafiri na ufatiliaji. Hivi kitu kama hiki kama kilishatokea mlifanyaje wakuu...kichwa ni kinauma sana wakuu ....
Jua kali mno kumtafuta mtu aliyejificha.
================
Nilichopanga Kufanya
================
Kesho nimejipanga nianzie shuleni alikokuwa akisoma,..kisha niwaelezee walimu wake situation nzima...baada ya hapo nitamuomba rafiki yake ...na binti ...anipe ushirikiano wa kunionesha huyu boda aliyemchukua mdogo wangu...sitaki nimuingize huyo rafiki wa binti kwenye majanga ...kisha nikishamjua nitamkodi hadi gogoni kituo cha polisi nikifika pale ...nitamwambia aingie tu hmna wasiwasi ...
Nitawaeleza polisi kila kitu kisha tutamnasa kirahisi sana...
Mods onganisheni huu uzi na ule niliouweka awali...
"Dawa ya moto ni moto"Duuh juzi Kuna bodaboda kalawitiwa huku mtaani kisa katembea na mwanafunzi aisee huyu kaka mtu kamfanya kitu kibaya sana huyu boda kisa chake kinafanana na chako Naye dogo anasumbua wazee broo wake ni katinga home kadokezewa Kuna boda anamzuzua mdogo wake wakamuwekea mtego wakamlawiti boda huku wanamrekodi aisee