Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

Hakikisha kwanza kama yuko salama kwa huyo boda.. Hiyo inaitwa love at first sight.. Imewatesa vijana wengi sana
 
Jua kali mno kumtafuta mtu aliyejificha😂
Pole sana
 
Kaka kazi unayo mi nimewalea dada zangu kipigo walichokuwa wanapokea adi saiv na ukubwa wao adabu tele, uyo kafichwa mahali kuna siku tulishawah fanya opereshin mtot wa jiran fom two Likataa shule akaenda kwa mshkaj siku nne haonekani kupleleza tukajuwa sasa tukaenda kienyeji kama wavamizi piga sana yule kijana ikawa msala kwetu wawili wakadakwa tukatiwa cello ila asubuh tulitoka huyo mkishajuwa alipo nendeni ripot kwa mjumbe eneo ilo bebeni askari wamtie nguvuni uyo binti kamata pig kisawa sawa mpka umwonee huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…