Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

Hii iliwahi kutokea kwenye ukoo wangu...miaka 90.....
Ila mdingi alipelekeshwa na ukoo kwa kuwa alikuwa na nyadhifa serikalini, kwa kutumia vitendea kazi vya serikali kama (polisi).....
Ila baadae kuja kugundua alipembelwa na muuza unga wa miaka ile katokaa Peshwari
 
Usihangaike mkuu kama ametoroka mwenyewe nyumbani atarudi mwenyewe, huyo ni kama mwana mpotevu.
 
Ngoja ukanasie huko kumbuka bado hujampata dogo.
 
Si kuandamwa tu haki za Binadamu zitakushukia kwa kasi ya 5G kama mpira wa kona.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Nae kashasoma hii ya kumkodi.
 
Pole sana . Kikubwa ongea na Familia wapunguze Tafrani presha isiwamalize. Ila huyo mtoto nikushauri mwacheni. Dunia itamfunza
 
"Dawa ya moto ni moto"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mtafuteni, ikithibitika anaishi na mwanaume muozesheni haraka kama ni waislam muiteni sheikh anapiga ndoa humo humo ghetto kwao, kama ni waikristo muiteni mchungaji wa kanisa la karibu hapo kwenu ipigwe ndoa chap akishindikana kabisa waozesheni ndoa ya kimila, kikubwa wakabidhini waishi kwa uhuru na amani
 
Aisee watoto wa kike pasua kichwa sana uyo itakuwa kuna mjuba kamficha ndani anajilia vyake ila pambana kumtafuta tu usikate tamaa
 
Bodaboda wana matatizo san ya kisaikolojia ya kutembea na wake za watu na mabinti wa shule.
 
Hiyo Tayari ni fursa ukienda police unaenda kuwapa ulaji.

Kesi za wanafunzi police huwa wanazichangamkia Sana.

Kikubwa ukimpata mpime Mambo matatu.

-Mimba
-Magonjwa ya zinaa
-Afya ya akili

Kuna kimoja kimeleta kingine hapo hiyo foolish age haina uhusiano na kufungua Mapaja .

So Angalia hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…