Kutafunwa sio lazima Kaka zako wawe washatafuna(kama ulivyosema wewe).Malipo ni hapa hapa mkuu,unataka atafunwe wapi ?
Eti asiyejua chochoteSasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Contena jipya au siyoπTunamsubiria kwa udi na uvumbaπππ
Hivi hawa wanaoenda Abroad nao huwa wanaendekeza hizi tabia za kuliwa?Atleast sababu isiwe kukosa mahitaji
Sawa mkuu Mungu awatunze wapendwa wenu.Kutafunwa sio lazima Kaka zako wawe washatafuna(kama ulivyosema wewe).
Mimi nimekuambia hii kitu haina formula, na nikakuambia kuna jamaa hakuwahi kutafuna ila mdogo wake alitafunwa, tena huyo jamaa ndio alikuwa mlezi wa karibu kama huyu mleta mada anavyohofia.
hii muachie yeye,wajibu wako ni kumuonesha mbaya na nzuriMaisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Kuwa open kwake mwambie asijichanganye na kuziingiza kwenye ngono nzembe na zo hovyohovyo, mwambie asiabudu mobby psychology, mwambie akizidiwa atumie kinga au wakapime kwanza na umwambie ni mwiko kuzaa na mtu ambaye sio mume wake wa halali (mtoto wa nje ya ndoa)Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Vipi wewe kipindi upo chuo haukufanya hayo ambayo unaogopa mdogo ako kufanyiwa?Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
ππππUna uhakika hajui chochote???
Kwa hiyo wasiopata kila kitu ndio nafasi yao yakuanza kujitanua??Jitaid apate kila kitu ili akiamua aende huko ni yeye sasa
Kikubwa ni kujitambua tuu