Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

Ana akili sana, unataka nani aje ale jasho lake?
 
Umetoa ushauri mzuri sana
 
Achana kabisa na kei. Pole sana
 
Mwache ale ile kitu roho inapenda......akikua ataacha tu....
 
Kupata hela na kuit
Wazazi,kanisa/msikiti,shule ,chuo, haviku muaandaa wala kumfundisha nidhamu ya fedha.Sasa pesa imekuja ghafla yeye mpangilio wake kaona bajeti yake aielekeze huko.Afundishwe namna ya kuigawanya na siyo kuipeleka yote kwenye Pombe manyoya.Kila mtu na starehe yake msimkataze ila mwambieni atenge bajeti ya mambo mengineyo pia
 
Watu wanalipwa mshahara wa laki mbili kwa mwezi na wanajenga ndo ujue kujenga ni neema za Mungu siyo kila mtu anaweza akawa na akili hiyo
 
Kiuharisia mdogo wako ni wa maana zaidi yako wewe. Ni mpumbavu kama wewe ambae atadiriki kuyasema mapungufu ya familia yao hadhalani.
 

Huyo mdogo wako hana hela, sema tu nyinyi mnamchungulia mshahara wake, je hiyo ni net au gross?
Acha hizo, wewe kaa nae akuelekeze ndio utajua hana hela basi tu.
 
Ushauri wa Kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…