Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

Muombee ndugu yako. Achana Na watu hapa maana akipata ukimwi au matatizo mengine hautasaidiwa na yeyote hapa. Mungu tu ndio anayeweza kukusaidia. Usimkatie tamaa.
 
Sawa mkuu ni matumizi yake aliochagua kwenye maisha yake lakini wazungu wanasema time will tell Sasa wewe mwache fainali ni uzeeni au mwisho wa ajira no shamba
 
Yaani laki 1 kwa siku ni pesa ya kuweza kuhonga mwanamke kweli, yeye kala kiasi gani, kodi analipa vipi, bado anabaki na oesa ya kuhonga?
 
Back
Top Bottom