Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

anarudisha ukoo nyuma!!!!!!!? Kivip kwani ukoo wenu mzima unamtegemea hyo limbukeni?
 
Kumbe tuko wengi. Yaani kuana watu na nyumba ni kama kobe vile. Hasa hawa akina mama. Utadhani watakaa hapa duniani milele. Kama mtu kaamua kujistiri katika nyumba ya kupanga, wewe unapata shida gani?
Yaani nyumba wengine tunajenga kwasababu ya msukumo wa wazazi ila tofauti na hapo burudani zetu zipo kwenye nyumba ya kupanga hadi tunakufa
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Acha dogo awaburuze watoto.
Hawa watu hutunyanyasa sana tukiwa hatuna ela dadek
 
mwache alilaksi ,kitabu kigumu bwana! Alipokuwa akiumiza kichwa darasani hukuwepo Wala hukuwahi kumsaidia kujibu paper,kwenye pesa unataka kumpangia matumiz eboo!!
 
Kujenga Ni Uoga Wa Maisha Acha Apange

Kutembea Kwa Miguu Ndiyo Sawa Maana Kuna Maradhi Yasiyoambukiza Kama Sukari, COVID 19

Kuvaa Inatosha Hivyo Alivyo Maana Hatembei Uchi

Usimtambulishe Kwa Rafiki Zako Acha Afanye Yake

ile kitu tamu, mwache dogo afaidi...tena hii mitoto inayokuwa week moja milaini balaa na inatumia miguu yote...
 
Mzindue kwa "kumgeuza shingo"

Anahitaji maombi ya kiroho.

Anza kwa kumuomba utoke naye mtemblee hospitali kuwaona wagonjwana kuwafariji kwa chochote kidogo ama kikibwa, kisha mzuru makaburi na kuwaombea waliotangulia.

Kisha tafuta mtumishi wa Mungu amuongoze kwa maombi.

Amini nakuambia, utashangaa utakayajifunza na bila shaka "shingo itageuka" kuelekea uelekeo sahihi, angalau si wa kukuaibisha.

Trust me.
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Acha wivu weye acha dogo afaidi mbususu yawezekana alisoma kwa shida enzi hizo hata mademu wa class walimtosa sababu hana hela Sasa leo hii ana pesa acha ale maisha duniani tunapita we unawaza kujenga nani alikwambia duniani tumekuja kujenga?
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Upumbavu mtupu.
 
Achana naye atakupotezea muda.
 
Kama yeye anayafurahia Maisha yake Wewe usijipe jukumu lisilo lako Mkuu.
 
Back
Top Bottom