Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

Pesa yake, nguvu yake sasa wewe inakuuma nini? Kila mtu ana kipaumbele chake kwenye maisha. Kama yeye kipaumbele chake ni wanawake na hamsumbui mtu katika kutimiza kipaumbele chake wewe inakuuma nini dada?

Muache aishi maisha yake, mwisho wa siku akija kujuta hatokuwa na wa kumlaumu zaidi ya yeye mwenyewe.
acha kushauri ujinga boss
.
Huyo mdogo wake ikatokea leo hii kapata ukimwi unadhani wataoumia ni kina nani kama sio hawa dada zake na wazazi wake!?
.
Toa ushauri wenye tija na sio kulopoka lopoka tu. Muda mwingine sio lazima uchangie kila uzi kama unaona huna cha kuchangia.
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Ushauri wangu kwako, kwanza mnunulie suruali moja, shati moja na tshirt ambazo zote ni za kisasa, na umpe umwambie bro nimekutea zawadi, atapendeza na kuanzia hapa anza polepole kumshauri namna ya kuvaa na pia maisha ya baadae atachange tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Unapaswa utuambie kwanza umemsaidiaje kabla ya kuja hapa na kumwanika ndugu yako kana kwamba wewe uko safi

Hivi huko mtaani mmefanya jitihada gani za kumsaidia kwanza

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Mwaka wa kumi analipwa million tatu au mwaka wa kumi anagegeda wanawake tueleweshe kwanza
 
Kumbe tunaovaa nguo za kupauka na mashati makubwa hatuna hela?
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
babyfancy anasema mpe namba yake aweze kumshauri kwa karibu!
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Penye miti hakuna wajenzi....Mimi Nina mshahara wa laki Tisa na elfu sitini . lakini ninachokishika in laki 7 tu..Nina mikopo progressive nimejenga kwa halu yangu natembea na piki japo wese parefu!
Huyo mdogo wako ni tajiri mno alitakiwa awe na biashara kubwa na mipango mingi! Ya kutafuta pesa kwa sababu mtaji snao.
Marehemu Reginald Mengi alikuwa anasema ujasiria Mali ni wazo na sio mtaji.Muiteni kwenye kikao cha familia mumseme kuhusu Tania zake hizo.
 
Chukua picha yake nenda nayo Kanisani pale Kimara Temboni kwa Kuhani Musa kashiriki ibada siku za Jumanne na Ijumaa kuanzia saa 9, na Jumapili kunzia saa 1 asubuhi... Ukifanya hizo safari kwa moyo wako wote ili abadilike naamini baada ya ibada chache utaona tofauti, Mungu hajawahi shindwa kitu...
 
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Muache ushamba ukiisha ataacha.
 
Huyo Kuna kitu hakiko sawa kwake, inawezekana ni mambo ya roho zisizopenda maendeleo au mambo mengine yanayofanania na hilo.

Kukaa nae chini inawezekana, lakini je atapokea ushauri wenu? Maana Kama ni maroho hayo yatafanya juu chini asipokee ushauri wenu.

Cha msingi wewe anza kutafiti Nini chanzo cha tatizo, hata likikuchukua miaka mwaka mmoja wewe usikate tamaa, maana ukilielewa tatizo ushalitatua nusu yake.
 
Ndio muone uchungu wa kutuchuna, hata wewe ukichuna jua kuna familia umeiiumiza
 
Back
Top Bottom