Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Kelb mwenyewe! Endelea na hamasa zako kama hatujaanza na wapemba wauza vikoroboi huku tabata maaluni!
kwani huku hakuna wabara wanatupigia kelele na majungu yako kutwa kucha chinga kila kona .
 
JE TAMISEMI ni Union Matter,maana msingi wetu wote lazima iwe Katiba yetu, mambo ya Muungano ni yanajulikana, Je kwani TAMISEMI ni issue ya Muungano ?
 
TAMISEMI ni Union Matter?
Suala la uteuzi sio suala la Muungano ndio maana ikionekana hakuna mwenye sifa ya kuteuliwa nchi nzima Rais anaweza kutumia hata watu kutoka nje.

Masuala ya Muungano sio ya wizara nzima, katika wizara kuna baadhi ya masuala yanaweza kuwa ya Muungano na mengine ya binafsi
 
Wazanzibari tumeshawazoea. Wenyewe siku zote ni waumini wa ule msemo wa changu changu, chako changu.

Kiukweli hawa jamaa ifikie wakati wajitawale tu, ili na sisi Watanganyika tupumue.
Walipokuwa wakilalamika wao sisi tuliwaona hamnazo sasa zamu yetu kulalamika !! Tunasemaga Zanzibar sio Nchi !!
 
Tumieni akili acheni uvivu, ile ni serikali ya Zanzibar, hii ni serikali ya muungano. Ndiyo maana mlishindwa hisabati mapema sana. This is simple logic.
Kweli kabisa !! Ujanja mwingi huondoa maarifa !! Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu !!
 
yuko sahihi huo muungano unawabeba sana wanzanzibar na unatubagua watanganyika.kwao zanzibar wakija huku bara wanaanza kututukana as if zanzibar kuna kitu cha maana.katiba haikwepeki na wakiendelea kuung'ang'ania tutaandamana kwa nguvu zote.
Cha kushangaza watanganyika ndio hawataki kuuvunja

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kukuta MTU Baba mpare na mama Mluguru ana cheo za Zanzibar

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mwinyi ni mtu wa mkuranga lakini ni Rais Zanzibar amekuwa Baba ake now yeye mtoto unataka nyazifa gani zaidi ya iyo wewe kichwa cha tofali.
Tiliza ngera wee papasi!! Mwiny usizungumzie cz ni zao la znz. Zungumzia wabara in general!!
 
Wakati maelfu ya vijana wa bara wahitimu wa vyuo wanagombania ajira chache, wazanzibar wanaacha ajira kwao( mishahara zenji ni midogo) na kuajiriwa kwenye bara kwenye wizara zisizo za Muungano. Hili sio sahihi kabisa.
 
Hizi ndizo hoja sasa siyo porojo za katiba na ugumu wa maisha.

Muungano uwe wa serikali moja tu au ufe.

Serikali tatu ni kuongeza mzigo tu kuiendesha.
 
Hili siyo shamba la bibi, wavune huku sisi tusivune kwao, kama ni sheria basi ni mbovu.
 
Ndugu MDUDE akumbushwe,

Why Mdugu Mwinyi wa MKURANGA pwani, amekuwa Rais Zanzibar?

Anyway, Naungana nae tupambanie KATIBA mpya Kwa maslah mapana ya nchi.
 
Ok, KATIBA iliyopo inaruhusu Hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…