mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,640
- 703
kwani huku hakuna wabara wanatupigia kelele na majungu yako kutwa kucha chinga kila kona .Kelb mwenyewe! Endelea na hamasa zako kama hatujaanza na wapemba wauza vikoroboi huku tabata maaluni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani huku hakuna wabara wanatupigia kelele na majungu yako kutwa kucha chinga kila kona .Kelb mwenyewe! Endelea na hamasa zako kama hatujaanza na wapemba wauza vikoroboi huku tabata maaluni!
Njoo uwaone ndugu zako huku wauza nyapu fela wewe .Kelb mwenyewe! Endelea na hamasa zako kama hatujaanza na wapemba wauza vikoroboi huku tabata maaluni!
JE TAMISEMI ni Union Matter,maana msingi wetu wote lazima iwe Katiba yetu, mambo ya Muungano ni yanajulikana, Je kwani TAMISEMI ni issue ya Muungano ?Huyu n mjinga wa kupuuzwa. Mkuu wa wilqya magharibi A susaz kunambi, mkuu wa wilaya ya kati Medina Joel Thomas, Meneja mkurugenzi PBZ, Mkurugenzi ZBS na ZRA( ZRB) hao wote ni Watanganyika na hawana wazee znz. Zena katibu mkuu kiongozi. Babu yake ndiyo.alikimbia Pemba lakini yeye kazaliwa tanga na hajawahi kutumikia Seriki ya znz. Ali Hassan Mwinyi amekuja znz ana miaka 10 na amechauliwa kuwa raising wa Zanzibar, Aboud Kumbe Mwinyi kwao ni.mji mwema na amekuwa rais wa znz. Sasa huyo.mdude mpuuzi. Na ako wakurugenzi wa wa wizara wengi sana baba zao wana asili ya Tanganyika na hivi sasa viongozi. Kwani mnasema Zena siyo.mtanganyika kwa sababu babu zake wana asili ya kizanzibar. . Hayo.madai yenu yq katiba mpya yataonekana ni upuuzi wa sabau mnazozitoa. Eti chakuna kimepanda bei na suluhisho lake katoba mpya!!
Suala la uteuzi sio suala la Muungano ndio maana ikionekana hakuna mwenye sifa ya kuteuliwa nchi nzima Rais anaweza kutumia hata watu kutoka nje.TAMISEMI ni Union Matter?
Walipokuwa wakilalamika wao sisi tuliwaona hamnazo sasa zamu yetu kulalamika !! Tunasemaga Zanzibar sio Nchi !!Wazanzibari tumeshawazoea. Wenyewe siku zote ni waumini wa ule msemo wa changu changu, chako changu.
Kiukweli hawa jamaa ifikie wakati wajitawale tu, ili na sisi Watanganyika tupumue.
Kweli kabisa !! Ujanja mwingi huondoa maarifa !! Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu !!Tumieni akili acheni uvivu, ile ni serikali ya Zanzibar, hii ni serikali ya muungano. Ndiyo maana mlishindwa hisabati mapema sana. This is simple logic.
Cha kushangaza watanganyika ndio hawataki kuuvunjayuko sahihi huo muungano unawabeba sana wanzanzibar na unatubagua watanganyika.kwao zanzibar wakija huku bara wanaanza kututukana as if zanzibar kuna kitu cha maana.katiba haikwepeki na wakiendelea kuung'ang'ania tutaandamana kwa nguvu zote.
Kwa nn hawapelekwi Sasa?Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Huwezi kukuta MTU Baba mpare na mama Mluguru ana cheo za ZanzibarEng.Zena ni mtanzania (mtanganyika), baba yake ni mtu wa Tanga na mama yake ni mtu wa pemba.
Alizaliwa Tanga(Tanzania bara) ,amekulia bara kaolewa bara na watoto wake wote kawapata bara.
Sifa za kuwa raia hata kama umezaliwa Tanzania ni lazima mzazi wako mmoja awe ni raia wa Tanzania. Sifa hiyo Eng.Zena anayo.
Zaidi asili ya mtu ni kwa upande wa baba
Tiliza ngera wee papasi!! Mwiny usizungumzie cz ni zao la znz. Zungumzia wabara in general!!Mwinyi ni mtu wa mkuranga lakini ni Rais Zanzibar amekuwa Baba ake now yeye mtoto unataka nyazifa gani zaidi ya iyo wewe kichwa cha tofali.
Hao mmewaajiri eti eh! Kenge madoa doa!Njoo uwaone ndugu zako huku wauza nyapu fela wewe .
Fukuza hao nasi tutimue wapemba huku.kwani huku hakuna wabara wanatupigia kelele na majungu yako kutwa kucha chinga kila kona .
Kwema bwasheeKwema lakini ndugu yangu
Hili siyo shamba la bibi, wavune huku sisi tusivune kwao, kama ni sheria basi ni mbovu...kwa HESHIMA naomba nikazie hoja yako.
..wanaong'ang'ania muungano ni wanasiasa vigogo wa Ccm toka Zanzibar.
..bila msaada wa vyombo vya dola vya Tanganyika wanaweza kupokonywa madaraka.
..suala la wananchi wa kawaida wa Zanzibar kuhamia na kupata fursa Tanganyika sio tatizo ilimradi wanafuata sheria.
..Watanganyika hatuna roho mbaya ya kukataa wageni. Tungekuwa na tabia za kibaguzi tusingewapa uraia Warundi na Wanyarwanda waliohamia kwetu.
Anawasaidia nyie vibwengo kupata fedha za urojo!Kamisha wa bodi ya mapato Yussuf Juma Mwenda ni mtu wa Bara uko kwenu anakusanya pesa za wazanzibar zimemuhusu nini ?
Ndugu MDUDE akumbushwe,Alichondika Mdude kwenye ukurasa wa twitter.
"Moja ya mapungufu ya katiba iliyopo ni kwamba, mtu kutokea Bara-Tanganyika hawezi kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar lakini mtu kutokea Zanzibar anaweza kuwa mkuu wa wilaya Bara. Sasa huu ni muungano wa namna gani? Ndio maana tunahitaji #KatibaMpya kuondoa ubaguzi wa namna hii."
View attachment 2496334
Ok, KATIBA iliyopo inaruhusu Hilo?Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.
Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena, Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.
Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma, ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?
Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Kwa vile anaitwa Charles sio? Utasema Jaji mstaafu Augustino Ramadhani pia ni mtanganyika!!!Charles Hillary mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Zanzibar.huyu ni mbara kabisa