Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar


Kwanini munateseka na huo unouita mkoa?
 
Unamaanisha nn?

Tanganyika imeshakufa na haipo kwahiyo hakuna Mtanganyika wala Utanganyika kwa sasa. Kilichokuepo ni Utanzania ambacho kila Mzanzibari nae anahusika kikamilifu. Ila Uzanzibari hauwahusu watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…