Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Taja baadhi...
Comodor Msingiri wa KMKM( ambae ni mkuubwa kikosi cha KMKM. Wazee wake wote ni watanzania bara wamekuja znz tu.Sina uhakika kama Yeye amezaliwa ZNZ. Mkurugenzi mkuu wa PBZ ni chotara kwao tabira na hajazaliwa znz kabisa. Mkurugenzi wa ZRB na yeye hajazaliwa znz amekuja znz baada ya kuteuliwa si mzazibar na wala hana asili ya znz. Mkurugenzi wa ZBS ni.mtanganyika.na wala.hana asilinya znz. Vp niendelee zaidi?? Wacheni ujinga na upuuziwenu
 
Katiba mpya italeta uwajibikaji na kumaliza WEZI wa pesa za miradi

Capture-Uvuvi.PNG

Uongozi.jpg
 
Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Zanzibar Ina katiba na sheria zake, Rais wake na hivyo raia wa bara (Tanganyika hawezi kupata uteuzi kule.
Maoni yako na ya Mdude hayana tofauti (kwa kuwa wote mnataka usawa kwa watu wa bara kuteuliwa kama wakuu wa wilaya Zanzibar), mnatofautiana uwezo wa fikra na uelewa wa katiba.(wewe unafikiri ana roho mbaya na kwamba ni rahisi tu watu wa bara wateuliwe ukuu wa wilaya Zanzibar).
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Huyo ni mzanzibari
 
Hivi, tunapoongelea "Mzanzibari" tunazungumzia nini?

Maana hakuna utaifa huo, hakuna "Mzanzibari" kama raia wa taifa la Zanzibar.

Hakuna kabila la "Mzanzibar", na hata lingekuwapo, haturuhusu ubaguzi wa kikabila.

Sasa tunapoongelea "Uzanzibari" tunaongelea nini? Watu wenye makazi Zanzibar? Ambao hata Wachagga wa Kilimanjaro wanaweza kwenda kukaa na kupata huo Uzanzibari?

Au tunaongelea nini?

Acha kupotosha wanzanzibar wanajulikana na wana vitambulisho vyao vya ukaazi mbara hawezi kupewa hicho kitambulisho.
Kwa hiyo wazanzibar ndio wametengeneza huu ubaguzi
 
Huu muungano wa namna gani? Au kiini macho. Nina hakika kuna maswala yanaeeza wekwa sawa bila kuvunja muungano, sie tulio wengi wacha tubanane kwenye eneo letu na Zanziba kwa uchache wao waendelee na utaratibu wao.

Utaratibu gani huo waendelee nao?
Au huu huu wa chetu Chao ,Chao chao
 
Acha kupotosha wanzanzibar wanajulikana na wana vitambulisho vyao vya ukaazi mbara hawezi kupewa hicho kitambulisho.
Kwa hiyo wazanzibar ndio wametengeneza huu ubaguzi
Sasa hicho kitambulisho kinapatikana vipi?

Ungeniambia hicho kitambulisho kinapatikana hivi, na kwa sababu hii mtu wa bara hawezi kukipata, hapo ningekuelewa.

Hapo hapo kunakuja swali.

Mpemba aliyelowea Arusha na kupata wajukuu baada ya miaka 50 hao wajukuu ni Wazanzibari au watu wa bara?
 
Nikuambie wewe kama Nani, bali.na ujinga wako na kuwa keyboard worrior kumbe huna unachokijua. Na inaonyesha hana Zanzibar hujawahi kufika at leastbukatoka.ushamba kidogo. Basi kwa taarifa yako hao jamaa zetu wa kichaga pia wana nafasi kwenye serikali. Kuna mkurugenzi mmoja wizara aya afya ni mchaga alikuja Zanzibar baada yabkumaliza Muhimbili Nadhani 2005. Kwa kufuata mwanamke na ameweza kuchaguliwa kuwa mkurugenzi. Sasa wewe baki na upuuzi wako na kupalilia ujinga
 
Ukichukulia mifano hiyonya wapemba waliolewa arusha. Miaka 50 kama bado anakuwa mpemba basi na ndugu zenu wa kiruvuru, kindengereko, kisukuma, kimakondr, kidiigo, kichole, kizaramo na kinyamwezi wamekaa. Na siku moja temebele Zanzibar at leatbutakuja kutoa ujing. Wilaya ya kati na magharibi A wengi ni wageni kutoka Tanzania bara. Na wapo pale wanamiliki kila Kitu kama wazanIbari wengine wa asili.
 
All I can say kuna watu wengi kwenye ili jukwaa awazijui siasa za CCM and their succession planning approach.

Kuwasaidia tu promotion za CCM ni kama za usalama wa taifa hazina mipaka ya mikoa, ukabila au dini (na nyoka wa visiwani wana uchungu na nchi Tanzania uwezi amini).

Wao wamejikita kwa watu walioiva either kwenye kuitetea CCM popote kama ilivyo kuilinda nchi nzima kwa usalama.

Shaka ni kada serious ambae amelelewa na chama loyalty yake ndani ya CCM aina mashaka yupo na misimamo ya CCM (if anything kauli yake ya mwisho kuhusu uhalali wa mapinduzi verify that) na vijana wa aina hiyo huwa awapo wengi ndani ya CCM.

Ni hivi eleweni shaka kwa succession planning za CCM na jinsi walivyo ridhika nae kama kada ambae atakipigania chama at its worst time, awezi kosa nafasi ya uongozi kama sio bara basi Zanzibar.

Huyo ni aina ya watu kama hakina Nahodha.

Sampuli hizo sio nyingi ndani ya CCM na kudumu inataka adaption ya uongozi, mwingine Nape sema alidhani kwa ulezi wake ndani ya chama angeweza kuwapikia wengine majungu kwa nafasi yake zama za Magufuli.

Kuna watu wakubahatisha wakiteuliwa wanatumia nguvu sana kujipendekeza waishi kwa kudra za mwenyekiti na kuna makada wa kulelewa awahitaji nguvu kupata teuzi popote bara au visiwani kama hakina Shaka kwa sababu ya kupitia succession planning.

Kuna watu kweli Bi Tozo katuletea bara kwa misingi ya utashi wake na nepotism.

Lakini Shaka kwa historia yake ndani ya CCM huyo tunae mpaka afike umri wa kustaafu provided anaafiki na ku adapt kila agenda za mwenyekiti mpya wa CCM, huyo ni mtoto wa CCM na tunae mpaka uzee wake unless kweli kuna sababu zingine za ushahidi hafai kama role model.
 
Nikuambie wewe kama Nani, bali.na ujinga wako na kuwa keyboard worrior kumbe huna unachokijua. Na inaonyesha hana Zanzibar hujawahi kufika at leastbukatoka.ushamba kidogo. Basi kwa taarifa yako hao jamaa zetu wa kichaga pia wana nafasi kwenye serikali. Kuna mkurugenzi mmoja wizara aya afya ni mchaga alikuja Zanzibar baada yabkumaliza Muhimbili Nadhani 2005. Kwa kufuata mwanamke na ameweza kuchaguliwa kuwa mkurugenzi. Sasa wewe baki na upuuzi wako na kupalilia ujinga
Sasa unanizodoa uniambie mimi kama nani, halafu unaendelea kuniandikia makala nzima kuniambia?

Unajua hata unataka nini?

Nimegoma kukusoma na mimi.
 
Ukichukulia mifano hiyonya wapemba waliolewa arusha. Miaka 50 kama bado anakuwa mpemba basi na ndugu zenu wa kiruvuru, kindengereko, kisukuma, kimakondr, kidiigo, kichole, kizaramo na kinyamwezi wamekaa. Na siku moja temebele Zanzibar at leatbutakuja kutoa ujing. Wilaya ya kati na magharibi A wengi ni wageni kutoka Tanzania bara. Na wapo pale wanamiliki kila Kitu kama wazanIbari wengine wa asili.
Unanizodoa uniambie mimi kama nani halafu huwezi kujizuia kunijibu mara mbilimbili?

Unajua unataka nini wewe?
 
Watanganyika kwanza mujiulize huu ni muungano au ni ukoloni wa taifa moja kulitawala koloni jengine?huu si muungano
 
Watanganyika kwanza mujiulize huu ni muungano au ni ukoloni wa taifa moja kulitawala koloni jengine?huu si muungano
Wa Tanganyika wenye kujielewa hawana shida na huo muungano.

Tukutane EAC Tanga, Dar na Mtwara kumejaa wapemba ambao wanaweza influence chaguzi zetu. Wakati huko kwao wanajiamulia tu.

Tanzania ni muungano wa mitazamo ya TANU na Afro Shiraz Party kwa sababu za kutetea msimamo wa asili ya africa. Lakini vinginevyo hata wabara tukipewa option kesho vunja tuu huu muungano tupo tayari kuachana na hao kupe.

Huu ni muungano wa CCM ideology unaweza ona utani, muda aujafika bado, subiri uone CCM itavyo watengeneza Bi Tozo na Mwinyi kama wanadhani wanaweza tengeneza mazingira ya kuudhofisha muungano kupitia mpango wao wa katiba mpya.

Kama watu wanaweza mteulia wakuu wa wilaya akiwa nje ya nchi, ataweza zuia agenda zao za kulinda muungano,

Hata hao wapigaji wanamipaka ikifika kwenye muungano. Ila kwa wananchi wa bara hatuna shida na ivyo visiwa watoke tu.
 
Back
Top Bottom