Mufti kwio hovyo sana weweHili jamaa ni lijinga sana
Zitaje baadhi
Mbona umerudia alichokidai?Roho yake mbaya kivipi hapo?Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Taja baadhi...Nyingi ambazo ni kubwa kuliko hata ukuu wa wilaya
Comodor Msingiri wa KMKM( ambae ni mkuubwa kikosi cha KMKM. Wazee wake wote ni watanzania bara wamekuja znz tu.Sina uhakika kama Yeye amezaliwa ZNZ. Mkurugenzi mkuu wa PBZ ni chotara kwao tabira na hajazaliwa znz kabisa. Mkurugenzi wa ZRB na yeye hajazaliwa znz amekuja znz baada ya kuteuliwa si mzazibar na wala hana asili ya znz. Mkurugenzi wa ZBS ni.mtanganyika.na wala.hana asilinya znz. Vp niendelee zaidi?? Wacheni ujinga na upuuziwenuTaja baadhi...
Zanzibar Ina katiba na sheria zake, Rais wake na hivyo raia wa bara (Tanganyika hawezi kupata uteuzi kule.Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Huyo ni mzanzibariNatoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.
Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.
Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?
Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Hivi, tunapoongelea "Mzanzibari" tunazungumzia nini?
Maana hakuna utaifa huo, hakuna "Mzanzibari" kama raia wa taifa la Zanzibar.
Hakuna kabila la "Mzanzibar", na hata lingekuwapo, haturuhusu ubaguzi wa kikabila.
Sasa tunapoongelea "Uzanzibari" tunaongelea nini? Watu wenye makazi Zanzibar? Ambao hata Wachagga wa Kilimanjaro wanaweza kwenda kukaa na kupata huo Uzanzibari?
Au tunaongelea nini?
Huu muungano wa namna gani? Au kiini macho. Nina hakika kuna maswala yanaeeza wekwa sawa bila kuvunja muungano, sie tulio wengi wacha tubanane kwenye eneo letu na Zanziba kwa uchache wao waendelee na utaratibu wao.
Sasa hicho kitambulisho kinapatikana vipi?Acha kupotosha wanzanzibar wanajulikana na wana vitambulisho vyao vya ukaazi mbara hawezi kupewa hicho kitambulisho.
Kwa hiyo wazanzibar ndio wametengeneza huu ubaguzi
Nikuambie wewe kama Nani, bali.na ujinga wako na kuwa keyboard worrior kumbe huna unachokijua. Na inaonyesha hana Zanzibar hujawahi kufika at leastbukatoka.ushamba kidogo. Basi kwa taarifa yako hao jamaa zetu wa kichaga pia wana nafasi kwenye serikali. Kuna mkurugenzi mmoja wizara aya afya ni mchaga alikuja Zanzibar baada yabkumaliza Muhimbili Nadhani 2005. Kwa kufuata mwanamke na ameweza kuchaguliwa kuwa mkurugenzi. Sasa wewe baki na upuuzi wako na kupalilia ujingaSasa hicho kitambulisho kinapatikana vipi?
Ungeniambia hicho kitambulisho kinapatikana hivi, na kwa sababu hii mtu wa bara hawezi kukipata, hapo ningekuelewa.
Hapo hapo kunakuja swali.
Mpemba aliyelowea Arusha na kupata wajukuu baada ya miaka 50 hao wajukuu ni Wazanzibari au watu wa bara?
Ukichukulia mifano hiyonya wapemba waliolewa arusha. Miaka 50 kama bado anakuwa mpemba basi na ndugu zenu wa kiruvuru, kindengereko, kisukuma, kimakondr, kidiigo, kichole, kizaramo na kinyamwezi wamekaa. Na siku moja temebele Zanzibar at leatbutakuja kutoa ujing. Wilaya ya kati na magharibi A wengi ni wageni kutoka Tanzania bara. Na wapo pale wanamiliki kila Kitu kama wazanIbari wengine wa asili.Sasa hicho kitambulisho kinapatikana vipi?
Ungeniambia hicho kitambulisho kinapatikana hivi, na kwa sababu hii mtu wa bara hawezi kukipata, hapo ningekuelewa.
Hapo hapo kunakuja swali.
Mpemba aliyelowea Arusha na kupata wajukuu baada ya miaka 50 hao wajukuu ni Wazanzibari au watu wa bara?
Sasa unanizodoa uniambie mimi kama nani, halafu unaendelea kuniandikia makala nzima kuniambia?Nikuambie wewe kama Nani, bali.na ujinga wako na kuwa keyboard worrior kumbe huna unachokijua. Na inaonyesha hana Zanzibar hujawahi kufika at leastbukatoka.ushamba kidogo. Basi kwa taarifa yako hao jamaa zetu wa kichaga pia wana nafasi kwenye serikali. Kuna mkurugenzi mmoja wizara aya afya ni mchaga alikuja Zanzibar baada yabkumaliza Muhimbili Nadhani 2005. Kwa kufuata mwanamke na ameweza kuchaguliwa kuwa mkurugenzi. Sasa wewe baki na upuuzi wako na kupalilia ujinga
Unanizodoa uniambie mimi kama nani halafu huwezi kujizuia kunijibu mara mbilimbili?Ukichukulia mifano hiyonya wapemba waliolewa arusha. Miaka 50 kama bado anakuwa mpemba basi na ndugu zenu wa kiruvuru, kindengereko, kisukuma, kimakondr, kidiigo, kichole, kizaramo na kinyamwezi wamekaa. Na siku moja temebele Zanzibar at leatbutakuja kutoa ujing. Wilaya ya kati na magharibi A wengi ni wageni kutoka Tanzania bara. Na wapo pale wanamiliki kila Kitu kama wazanIbari wengine wa asili.
Wa Tanganyika wenye kujielewa hawana shida na huo muungano.Watanganyika kwanza mujiulize huu ni muungano au ni ukoloni wa taifa moja kulitawala koloni jengine?huu si muungano