Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Wajukuu hao si Wazanzibari kwa sheria za huko. Hata waliozaliwa Zanzibar ila hawaishi huko kwa zaidi ya miaka mitano si Wazanzibari.
 
Wajukuu hao si Wazanzibari kwa sheria za huko. Hata waliozaliwa Zanzibar ila hawaishi huko kwa zaidi ya miaka mitano si Wazanzibari.
Very selfish people, very ignorant and yet they think wapo superior to us.

Zanzibar ni kama Rwanda only smaller in size advantage yao wana port tofauti na Rwanda.

Wanini tunawalazimisha wapemba wamejazana pwani yetu kwa amani tunawapokea vizuri hata tajiri mkubwa Tanzania nzima Bakhresa ni mpemba sijui mzanzibari na hatuna shida wakati viwanda vyake na mashamba yake yapo bara. Hizo ndio vision za Tanzania

Hila wao sasa kujiona muhimu and very selfish people

Watoke tu, huu muungano wa CCM binafsi nimewachoka hawa very ignorant and ungrateful people.
 
Watanganyika kwanza mujiulize huu ni muungano au ni ukoloni wa taifa moja kulitawala koloni jengine?huu si muungano


..Watanganyika na Wazanzibari tuungane kuukataa muungano huo wa kiujanja-janja.

..Kuna tatizo kwa Wanzazibari Raisi wa Tanzania akiwa toka kwao harakati za kupinga muungano zinapungua.

..Watanganyika na sisi tuna tabia ya kuupinga muungano zaidi wakati Raisi wa muungano akitoka Zanzibar.

..Mimi naomba pande zote ziwe consistent. Tupaze sauti kuhusu changamoto, kero, na madhila ya muungano, wakati wote bila kujali anakotokea Raisi wa muungano.
 

..kwa HESHIMA naomba nikazie hoja yako.

..wanaong'ang'ania muungano ni wanasiasa vigogo wa Ccm toka Zanzibar.

..bila msaada wa vyombo vya dola vya Tanganyika wanaweza kupokonywa madaraka.

..suala la wananchi wa kawaida wa Zanzibar kuhamia na kupata fursa Tanganyika sio tatizo ilimradi wanafuata sheria.

..Watanganyika hatuna roho mbaya ya kukataa wageni. Tungekuwa na tabia za kibaguzi tusingewapa uraia Warundi na Wanyarwanda waliohamia kwetu.
 
Ndio maana nikasema huu muungano ni wa Afro Shiraz party na TANU.

Of course unawanufausha sana vigogo wa CCM Zanzibar na visiwa vyao kushinda bara katika kulinda nafasi zao za utawala.

Kwa bara binafsi sina shida watu wa visiwani kuja bara kutokana na muungano.

Halikadhalika ata Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya wanalilia free movement ya raia kama ya Zanzibar na tunawanyima.

Yet hizo previledge tunazowapa Zanzibar hayo mataifa mengine wapo tayari kutupa kwao wakati Zanzibar awataki ku reciprocate.

Hawa watu ni ungrateful, ni kuvunja tu huu muungano tukutane EAC.
 
Hasira za nini?

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Charles Hillary mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Zanzibar.huyu ni mbara kabisa
Charles Hilali Mkwanga ni mzanzibar mwenye asili ya Bara wakitokea Tanga, sawa na Rais aliyepo kule aliyetokea Mkuranga. Tena hawa ni kizazi cha pili tu, wazazi wao Walihamia kule na wao wamezaliwa kule.
Hapa suluhu ni katiba mpya tu, kuongeza serikali ya Tanganyika km ilivyoshauliwa na Jaji warioba na wasomi wengine

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Muungano wetu ni Katiba tu. Hawa wakubwa wote wanajua lkn wakiwa pale uongozini hawawezitekeleza. Mengine yote sisi ni ndugu hatudhuliani ila wabara hatuenjoy kivile kama wenzetu

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Hili la Mdude ni kweli kabisa na naunga mkono kwa asilimia 100
Hii haina tofauti hata kdg na ubakaji, huu ni ubakaji wa nchi!
 
Majibu yatakuwa yale yale, Zanzibar padogo wabara hawataenea, udogo wa eneo la wale jamaa unawafanya watufaidi sana, ni kama kupe anayenyonya damu ya n'gombe.
Hivi kwanini huu Muungano usikufilie mbali wote warudi kwao tuone jeuri yao?
 

..halafu kwanini Mama hateui Waislamu wa Tanganyika?

..uteuzi wa wakuu wa wilaya umejaza Wakristo hakuna uwiano kabisa.

..Nimegundua kwamba Waislamu wa Tanganyika hawathaminiwi na ndugu zao wa Zanzibar.
 
..halafu kwanini Mama hateui Waislamu wa Tanganyika?

..uteuzi wa wakuu wa wilaya umejaza Wakristo hakuna uwiano kabisa.

..Nimegundua kwamba Waislamu wa Tanganyika hawathaminiwi na ndugu zao wa Zanzibar.
Hili jambo nililiandikia uzi kuwa Muungano unawaweka mtu kati waislamu wa Tanganyika
Power ya kisiasa iko largely kwa Waislamu wa Zanzibar na Wakiristo wa Tanganyika.
Muislamu wa Tanganyika ataanza kunufaika iwapo serikali ya Tanganyika itamanifest.
 
Mambo mengi ni ya kijinga sana ktk nchi hii.huu muungano huwezi elewa lengo la ndani ni nini,uhuru kwa pande zote mbili ingekuwepo basi huu ungekuwa muungano wa kupongezwa sana sana lkn si hivyo.vichekesho ni vingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…