Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Tafadhali tuwekee hapa jina la mkuu wa wilaya mmoja Zenji ambaye ni Mbara/Mtanganyika..

Secondly, hili siyo suala la Chadema, ni la Watanganyika
 
mtoa hoja yuko sahihi kabisa haya mambo yanaudhi sana yani wazanzibar sijui wanajikuta ni kina nani ubaguzi umewajaa
 
Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
yuko sahihi huo muungano unawabeba sana wanzanzibar na unatubagua watanganyika.kwao zanzibar wakija huku bara wanaanza kututukana as if zanzibar kuna kitu cha maana.katiba haikwepeki na wakiendelea kuung'ang'ania tutaandamana kwa nguvu zote.
 
Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Sasa hicho haliwezekani mtu kutoka bara akawa DC kule
 
Aliyekwambia Zena Mtanganyika nani?
 
Wazanzibari tumeshawazoea. Wenyewe siku zote ni waumini wa ule msemo wa changu changu, chako changu.

Kiukweli hawa jamaa ifikie wakati wajitawale tu, ili na sisi Watanganyika tupumue.
Na bado mmewakumbatia Zanzibar mda wote wamekuwa wakiukataa huu muungano kwa taarifa yako hakuna mzenji anaetaka hilo dubwashko linaloitwa muungano ni kiherehere chenu tu wabara.
 
Mkuu kwan kaonyesha roho mbaya hapo? Kahoji kuhusu wabongo kushika nyazfa znz!!
Mwinyi ni mtu wa mkuranga lakini ni Rais Zanzibar amekuwa Baba ake now yeye mtoto unataka nyazifa gani zaidi ya iyo wewe kichwa cha tofali.
 
Sio upotoshaji ila kimsimgi hili liko wazi watanganyika zenji hawatambuliki.
Kamisha wa bodi ya mapato Yussuf Juma Mwenda ni mtu wa Bara uko kwenu anakusanya pesa za wazanzibar zimemuhusu nini ?
 
Aliyekwambia Zena Mtanganyika nani?
Eng.Zena ni mtanzania (mtanganyika), baba yake ni mtu wa Tanga na mama yake ni mtu wa pemba.

Alizaliwa Tanga(Tanzania bara) ,amekulia bara kaolewa bara na watoto wake wote kawapata bara.

Sifa za kuwa raia hata kama umezaliwa Tanzania ni lazima mzazi wako mmoja awe ni raia wa Tanzania. Sifa hiyo Eng.Zena anayo.

Zaidi asili ya mtu ni kwa upande wa baba
 
halafu wewe jamaa ni mzee hapa jukwani lakini akili yako imejaa tope, unamjua bregedi Mwakanjuki ambae aliwahi kuwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi katika serikali ya Mapinduzi ... yani mtu kama mdude ndio anawatoa ufahamu mijitu mizima .
 
Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
"Aache roho mbaya, wote ni watanzani,".

Uko sahihi mkuu. Sisi wote ni WATANZANI.
 
Majibu yatakuwa yale yale, Zanzibar padogo wabara hawataenea, udogo wa eneo la wale jamaa unawafanya watufaidi sana, ni kama kupe anayenyonya damu ya n'gombe.
Tatizo Zanzibar hawana shida na Muungano nyie wabara ndio vin'gan'ganizi sheiz type, siku nyingi tulishasema tuache tupumue unajua maana yake kelbu waheed.
 
Acha upotoshaji.
Mhandisi Zena Ahmed Said ni Mzanzibari "pure".
 
Wewe huyo mmoja rafiki yake mwinyi? Changu changu chetu changu syndrome lazima ipigwe sana. Hivi hawa wapemba wa tabata na buguruni vp?na kule zenji kuna wabara!? Maanake nilitembelea tu siku 5 hotelini. Basi tukio la ujambazi likatokea usiku wale jamaa pale receiption wakawa wanasema "toka mijitu ya bara ije huku ujambazi haupungui". ENOUGH IS ENOUGH tuache unafiki
 
Tatizo Zanzibar hawana shida na Muungano nyie wabara ndio vin'gan'ganizi sheiz type, siku nyingi tulishasema tuache tupumue unajua maana yake kelbu waheed.
Kelb mwenyewe! Endelea na hamasa zako kama hatujaanza na wapemba wauza vikoroboi huku tabata maaluni!
 
TAMISEMI ni Union Matter?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…