General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Kabisa...Tatizo lake ni lugha chafu na za kejeli kufikisha ujumbe wake, wapinzani wapo wengi ila yeye ni MPUMBAVU hata mimi "ningemshughulikia" japo siipendi CCM.
Kuna namna ya kujenga hoja bila kutukana, kukejeli, kudhihaki na kukashifu wengine
Jamaa huyu akili zake anazijua yeye. Huwezi kumuita rais wetu jina la shetani, ni dharau sana.
Chadema sio matusi ndugu acheni kutusingizia.
Ni kijana wa hovyo sana huyu Mdude NyangaliKabisa...
Na Democrasia nikushindana kwa hoja na sio matusi dharau na kebehi.
Kwani wakubwa hana yeye...???
Mbona hana nidham asee huyu.Mi huwa na mchukulia kama mvuta bangi kama mateja tuu wengine wakule Karume
We mburula wa kalebezo kaa kimya
wananapenda wasifiwe tuNaona hamjui hata maana ya matusi, mtu ukiwa na matendo yanayofanana na yule aliyeitwa hilo jina, nawe ukiitwa hivyo hujatukanwa, that's your nickname.
Majina yakiwa mazuri mnayapenda, ila mabaya hamyataki, hata kama mnasifa hizo, sio poa.
Serikali inamchelewesha mnoNi kijana wa hovyo sana huyu Mdude Nyangali
Mbowe kubambikiwa kesi na kukaa gerezani zaidi ya miezi 6.. ukinipara nitakuparua.Unaweza kuzitaja hizo tabia za Yezebeli ulizoziona kwake?...acheni kushabikia matusi, kuweni watu wazima.
Tuna umbwe kubwa sana la malezi mkuu mimi huwa nashangaa mtu kuwa mpinzani ni lazima uwe na lugha kali kali au zenye utata?Tatizo lake ni lugha chafu na za kejeli kufikisha ujumbe wake, wapinzani wapo wengi ila yeye ni MPUMBAVU hata mimi "ningemshughulikia" japo siipendi CCM.
Kuna namna ya kujenga hoja bila kutukana, kukejeli, kudhihaki na kukashifu wengine
Huenda hujui Siasa, na Siasa sio ajenda moja tu, mnaweza kuwa mko kwenye Chama kimoja lakini mkawa na different views kuhusu mambo fulani fulani.Mwanachadema umeamuacha kamanda umebaki upande wa ccm au zile aya[emoji16]
Huenda hujui Siasa, na Siasa sio ajenda moja tu mnaweza kuwa mko kwenye Chama kimoja lakini mkawa na different views kuhusu mambo fulani fulani.
Acha utoto nimeunga wapi?Kwahiyo unaunga mkono mwenzio kufa[emoji16]
Acha utoto nimeunga wapi?
kwa ujasiri huu wa kumwita Rais Samia kuwa Yezebeli...hakika, kwa mara ya kwanza ninailaumu sana serikali kwa kukaa kama vile haioni tusi na dhikaha hii. Wamechelewa sana kukushughulikia.
Hujui siasa nenda chitchat.Chadema mpo kama vitoto
Huyu bwana mdg mdude hawezi kukosoa kwa staha bila kutukana Wala kukashifu wengineAache matusi bhana....kutumia majina kama Yezebeli kwa unaowakosoa sio uungwana.