Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Inaonekana anaintelijensia Kali sana huyu mtu.polisi wamwajiri ili awape uzoefu anaotumia ili kujua nyendo za wahalifu na kuzizima kabla hawajatekeleza
 
Hilo jina jipya ni hatari mno kulitamka.
 
Kiongozi anakosolewa kwa 'lugha' yoyote ile na mtu hatakiwi kushtakiwa kwa kuwa tu amemkosoa kiongozi, isipokuwa tu kama ukosoaji wake una madhara ya kiusalama wa Taifa. Watu wanaongea kwa tabia za makuzi yao namna walivyolelewa, mtu aliyekulia uswahilini huwezi tegemea akukosoe kama mtu aliyelelewa ushuani. Halafu hakunaga ukosoaji wa 'staha', unakosolewa kavukavu.
 

Attachments

  • 20220919_103637.jpg
    86.9 KB · Views: 1
Kama kuna mtu mwenye akili timamu Chadema na anamuunga mkono huyu kichaa basi ana matatizo makubwa.

Nadhani kauli ya Freeman Mbowe kuwazuia vichaa kama huyu Mdude kutukana viongozi somo bado halihaeleweka.

Au achunguzwe huyu huenda ana bwana wake jela Sasa anatafuta kila sababu arudishwe Kwa mume wake gerezani.
 
Mama Samia ni Chifu Hangaya na siyo malkia.

Kama mmemis Magufuli mseme huyu mama msimchukulie powa kihivyo anaweza kuwaonesha sura yake ya Pili.
Nyerere pia tulimuita majina kama "Mzee Mussa" na "Mchonga meno" wala hakuhamaki, kwenye siasa kuna mambo mengi.

Lakini wenye kumtukana sheria ifuate mkondo wake.
 
Sidhani kama mama SSH atakubali haya, labda yale 'masalia ya mwendazake' yaliyobakia pale ambao wanaona ndio njia sahihi kama walivyofanya wakati wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…