Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Yani kuna historia za kina Malcom X sijui Martin Lurther ila bongoo ukianza kuandika hutamaliza idadi sema sababu ni bongo ukijichanganya kijana unapotea kama Upepo na hizo harakati zako itabaki kuwa msiba na hasara kwa familia yako.
 
Back
Top Bottom