Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Alikuwa anajiona anaungwa mkono kumbe yuko peke yake duh.
Halafu wa HOVYO kama wewe mnabaki kusumbua watu humu. Hata kina Amini, PolPot, ,Mobutu nk nk walipoteza na kuwaua wapinzani wao lakini history imewahukumu. Ccm history itawahukumu kuwaua waTanganyika wenzenu ili kujipendekeza kwa kiongozi.

Kwani mahakama hamziamini tena. Kama ni wakosefu kwanini wasiperekwe mahakamani badala ya kuwaua bila kufuata sheria ?!
 
Insha yote ya nini?😁
 
Uko proud kwa haya yanayofanyika mkuu?! Kuua mtu tena ambae hana threat yeyote…watu ambao hawamilik hata gobole?!
MPUMBAVU SANA HUYU KIJANA ALIKUWA ANATOA MANENO YA KUUDHI SANAAAAA UTAFIKIRI ANAJIAMINI NA ALIKUWA ANASEMA HAMUOGOPI MTU MBONA KADANJA SASA HUO UMAHIRI WAKE UKO WAPI?
 
huwezi kufanya utani kwenye mabo ya msingi gentleman,
unatania nini kwenye ukweli sasa kwa mfano?
Mimi nitakua wa mwisho kuamini kama wewe ni kiazi kiasi hiki mkuu, naona ni mambo ya njaa tu yanakuponza bwashee 🤔
 
Back
Top Bottom