Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Bila watu kukubali kumwaga damu zao ili kuleta UKOMBOZI kamili wa Nchi hii, tutachelewa sana.

UKOMBOZI wowote kutokana na UDHALIMU ni lazima damu imwagike.

Kwenda mahakamani kudai haki iliyoporwa na huyo huyo mwenye mahakama ni kujilisha upepo.

DAWA ya MOTO ni MOTO.

Kwa hiyo, sisi Watanzania bado hatujawa tayari kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii. Na kwa sababu hatupo hatujawa tayari bado, ebu tuendelee kwanza kuteswa mpaka siku tutakapokuwa tayari kumwaga damu kwa ajili ya ukombozi wetu.
 
Siku hizi Tanzania kupotezwa ni jambo rahisi tu.

Juma Kaswahili naye kapotezwa kama mchezo na watu hata hawamzungumzii sana outside CH.
IMG-20250614-WA0044.jpg
 
Huyu mrithi wa kurithi urithi ulioachwa na marehemu ni mbaya sana.anatuharibia Nchi yetu Kwa kuwateka na kuwaua watanzania Kwa mikono yake mwenyewe.Anatakiwa kurudishwa kwao Zanzibar Kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom