Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Kwa nini unataka kunilazimisha nikubaliane na wewe?šEm pambania Nchi mzee! Achana na Ccm na wapuuzi wengne huko kijani.
Kwa nini unataka kunilazimisha nikubaliane na wewe?šEm pambania Nchi mzee! Achana na Ccm na wapuuzi wengne huko kijani.
Nakubaliana na wewe. Damu ya haki huwa haipotei bure. Lazima kila alihusika atalipa gharama mpaka senti yake ya mwisho.Damu yke haiwezi kwenda bure kama ya Azory ndivyo itakavyokuwa
Ndo kusema ana nguvu kuliko mamlakaAwali nilipingana sana na tuhuma hii, lakini kwa mwenendo wa sasa wa Mbowe uwezakano huo ni mkubwa, mwamba ni nunda mla watu.
SASA HIVI MWABUKUSI ALIYEKUWA NANSEMA YUPO KWENYE KIKAO AKIRUDI MBEYA HAONDOKI MPAKA WAMPATE AMESHAKAA KIMYA ANAMKWARA WA FENESI MWABUKUSI HANA LOLOTE WANAWAJAZA UPEPO VIJANA WATUKANE HALAFU WAO WANAKAA MBALIAlikuwa anajiona anaungwa mkono kumbe yuko peke yake duh.
abudu na kuamini kwa uhuru kadiri ya imani yako gentleman,Mimi nitakua wa mwisho kuamini kama wewe ni kiazi kiasi hiki mkuu, naona ni mambo ya njaa tu yanakuponza bwashee š¤

Tukubaliane kwenye mambo ya kitaifaā¦kuua watu sio nzuri kwa taifa mkuu.Kwa nini unataka kunilazimisha nikubaliane na wewe?š
NDIYO YAKIYOBAKI MNASUIBIRI SIKU YA MWISHO ILA MUACHE KUWAJAZA UPEPO VIJANA WATENDE MAKOSA WAPOTEEEENakubaliana na wewe. Damu ya haki huwa haipotei bure. Lazima kila alihusika atalipa gharama mpaka senti yake ya mwisho.
Siku zinakuja ambapo kila aliyehusika kuteka watu, kutesa, kupoteza au kuumiza watu, ikiwa alishiriki kupanga, kushauri au kutekeleza atakuja kuhesabiliwa kila kosa alilofanya na atalipwa kulingana na uzito wa kazi aliyoifanya.
Mbona we hujafa!?Kuna chawa johnthebaptist , chiembe Tlaatlaah na wengine wanafurahia eti Tanzania inafanya vizuri kiuchumi kuliko marekani na ulaya. WAUWAJI WAKUBWA.
Mitandaao inatupa wafuasi wengi kiasi tunaona tuna watu, ila hii nchi likikukuta Jambo trust me hutaona hao watu utasahaulika wewe mpaka watoto wako. Siasa za Tanzania ni either ujitoe ufahamu uwe NDIYO MZEE au uwe na akili ila uwe hatarini.Nimejitahd kupaza sauti huku niliko,ila naona bado haitoshiā¦.
Alitoa assist kwa mamlaka kutekeleza mauaji.Ndo kusema ana nguvu kuliko mamlaka
Tutamkumbuka kwa udhubutu wake mkuu! His spirit will live on..!MPUMBAVU SANA HUYU KIJANA ALIKUWA ANATOA MANENO YA KUUDHI SANAAAAA UTAFIKIRI ANAJIAMINI NA ALIKUWA ANASEMA HAMUOGOPI MTU MBONA KADANJA SASA HUO UMAHIRI WAKE UKO WAPI?
KWAKWELI SIYO VIZURI KUMAGA DAMU YA MTU NI LAANA WALIOUA WATAJIBUI WAO SIYO WALIOWATUMATukubaliane kwenye mambo ya kitaifaā¦kuua watu sio nzuri kwa taifa mkuu.
WANAOUMIA SASA HIVI KWA UJINGA WAKE NI NDUGUTutamkumbuka kwa udhubutu wake mkuu! His spirit will live on..!
Alietuma bado na yeye ana cha kujibu.KWAKWELI SIYO VIZURI KUMAGA DAMU YA MTU NI LAANA WALIOUA WATAJIBUI WAO SIYO WALIOWATUMA
Duh kwakwel vituo vya afya ya akili viongozweabudu na kuamini kwa uhuru kadiri ya imani yako gentleman,
but ukweli uko pale umetuwama kwa utulivu wa kiwango cha juu sana na dunia nzima inashuhudia![]()
Then wamuache tu?Alitoa assist kwa mamlaka kutekeleza mauaji.
Bora mkuu nife kwa kile nakiaminā¦.sio kua chawa kwa kweli kwangu mimi hapana.Mitandaao inatupa wafuasi wengi kiasi tunaona tuna watu, ila hii nchi likikukuta Jambo trust me hutaona hao watu utasahaulika wewe mpaka watoto wako. Siasa za Tanzania ni either ujitoe ufahamu uwe NDIYO MZEE au uwe na akili ila uwe hatarini.