Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Mbaya zaidi alianza kuona dalili za kufatiliwa mapema tu,ye alichofanya ni kuhama mtaa tu
Mke wake atakuwa anapitia hali ngumu sana,maana naamin aliona alivyochukuliwa nyumban
Dogo aliechoma picha ya rais nae kama utani vile,ila wadanganyika waliopo ccm wameupenda sana utawala wa huyu mama,hawatak kusikia mtu akikosoa