Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Mungu ndiye ajuaye...
Alikuwa anajiona anaungwa mkono kumbe yuko peke yake duh.
inasemekana lakini hakuna ushahidi kasepaTumemkosea nini Mungu sisi!
hakuna anaefurahia mauaji, however kuna consequences za kugongana na utawala, kila chama kinataka kubaki madarakani unapowachallenge hizi ndo concequences utakazokutana nazo, hatusemi ndo njia halali ila duniani kila kitu ni vita, so as long mmeamua kuingia kwenye hio vita unatakiwa ujue anything can happenKuna chawa johnthebaptist , chiembe Tlaatlaah na wengine wanafurahia eti Tanzania inafanya vizuri kiuchumi kuliko marekani na ulaya. WAUWAJI WAKUBWA.
nyie si mpo kwenye keyboardSiku hizi Tanzania kupotezwa ni jambo rahisi tu.
Juma Kaswahili naye kapotezwa kama mchezo na watu hata hawamzungumzii sana outside CH.
ata wewe sku yako ipo, usijifariji kwamba aliefanya maovu ndo anatakiwa kukata moto hio ni kwa wotewhere is Hitler? Where is Pol Pot etc?
Damu za hawa watu hazijamwagika bure. Na huu sio mwisho itamwagika damu yangu au yako lakini ndio mwanzo wa mwisho.
Hasta la Victoria Siempre
Some are more equal than othersSiku hizi Tanzania kupotezwa ni jambo rahisi tu.
Juma Kaswahili naye kapotezwa kama mchezo na watu hata hawamzungumzii sana outside CH.
bro ata shetani alitamani nafasi ya Sir God kilichomkuta kinaeleweka kwahio acheni vilio visio na sababu, ccm hawezi kuachia madaraka unavotaka weweKiller bitches, you will end up dying with a thousand cuts.
amna vijembe apo huo ndo uhalisia, akuna uongozi unaondoka kirahisi ata shetani alitamani uongoziMkuu wew ni mkongwe sana humu ila akili zako ni hzi hzi mda wote wew ni vjembe na mizaha tu.
unapaza sauti nyuma ya keyboard 🤣 🤣Nimejitahd kupaza sauti huku niliko,ila naona bado haitoshi….
wachache sana watakuelewaWANAOUMIA SASA HIVI KWA UJINGA WAKE NI NDUGU
Chama gani tena, hivi huoni hata chama kina struggle ku-exist? Hapo ni kumwandama huyu mcahwi muuaji na mtekaji yule mwanamke pale ikulu
Ni wengi sana, tokea kipindi cha JP mpaka sasa ni a thousand bodies. Tunaokuwa na taarifa zao ni the popular ones
where is Hitler? Where is Pol Pot etc?
Damu za hawa watu hazijamwagika bure. Na huu sio mwisho itamwagika damu yangu au yako lakini ndio mwanzo wa mwisho.
Hasta la Victoria Siempre
Ina maana kuna wengine wengi wanapotezwa hatuwajui tu.
Mimi sio bro wako, malparida putabro ata shetani alitamani nafasi ya Sir God kilichomkuta kinaeleweka kwahio acheni vilio visio na sababu, ccm hawezi kuachia madaraka unavotaka wewe
Putaata wewe sku yako ipo, usijifariji kwamba aliefanya maovu ndo anatakiwa kukata moto hio ni kwa wote