Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,383
- 3,278
- Thread starter
-
- #121
Ni kweli mku,haya mambo ya sheria na procedure hayahitaji Mungu.Kosa lenu ni hilo kufikiri kuna Mungu wa kutatua shida zenu. Hajawahi kuwepo!
Ulimwengu huu hupaswi kuishi kwa kutegemea huruma ya chochote. Kila kitu hutokea kwa KANUNI, si upumbavu wala hekima vyote vinahitaji Ukamilifu wa Kanuni zake.
Hakuna Mungu wala dubwana lolote linaloweza kuleta matokeo chanya kwenye kanuni hasi au matokeo hasi kwenye kanuni Chanya.
AMKENI, Pumbavu!
Gentlemen mwehu ni wew sasa.maarifa, hekima, busara na utii
Wewe ni maskini unajikuza kwa huu ujinga wa uchawa , na wajinga hauna lolotemaarifa, hekima, busara na utii
Tusiwalaumu viongozi wa chadema, wanapitia mengi, wanapigwa vita na serikali kila kukicha, mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya uhaini, wametupambania miaka nenda rudi, kwa kupigwa,kuvunjwa,kuuawa,kupokonywa mali, kufanyiwa kila aina ya ukatili, sisi wananchi tumefanya nini japo kuwatia moyo hawa viongozi, au oupambania haki za wenzetu wanaouawa na kutekwa na kupotezwa? Tumefanya nini mpaka sasa?Tumemkosea nini Mungu sisi!
Wananchi tuamke tukitete chama maana kinapigwa vita kwa sababu ya kuwatetea wananchiChama gani tena, hivi huoni hata chama kina struggle ku-exist? Hapo ni kumwandama huyu mcahwi muuaji na mtekaji yule mwanamke pale ikulu
wee puuza ukweli wa mawaidha kwenye hiyo koment yangu, ili uteseke na makasiriko wakati woteWewe ni maskini unajikuza kwa huu ujinga wa uchawa , na wajinga hauna lolote
Wewe hauna akili wala pesa yoyote ya kunizidi mimi , hivyo mimi nakuchukulia kama keratosis la kuchambia tu. Na wewe ni mjinga hata jeshi haujawahi kwenda🤔wee puuza ukweli wa mawaidha kwenye hiyo koment yangu, ili uteseke na makasiriko wakati wote
Shida ni elimu na uelewa toka lini kelele za sisimizi zikakunyima usingizi mtu Hana impact hata na mtaa Hana panga Wala silaha.Kweli kabisa. Hebu fikiria mtu kama Mdude. Amekuwepo tangu awamu ya Magufuli na sidhani kama alikuwa na impact yoyote kwenye kuamua rais vs urais. Hakuwa na wafuasi ambao angeweza kuwahamasisha na kuleta madhara kwa utawala. Mtu wa aina hiyo kumuua kunaleta negative impact kwa watawala kuliko kumwacha.
Heri wafu wafao katika bwanaNaumia sana nikimfikiria huyu kijana. Namna alivyochukuliwa na “kupotezwa” inanitia simanzi sana. Bahati mbaya/nzuri nimewahi kumfahamu japo kwa kiasi kidogo, kipindi akiishi Vwawa akiwa na ofisi pembeni ya mgahawa wa Mkulima pale Vwawa.
Kosa lake ni lipi hasa la kustahili aliyotendewa? Kuikosoa serikali? Serikali hii haitakiwi kukosolewa? Wengine watasema alikuwa “akiitukana serikali”. Nchi hii haina sheria? Haina mahakama? Kwanini tunaruhusu kama nchi kuingia kwenye laana ya “kuzima” watu bila hatia. Machozi ya mke wake, watoto wake, ndugu na jamaa wa karibu yanatuachia laana kubwa.
Nauliza, kwahiyo Mdude Nyagali ndio amepotea hivyo? Yaani hivyo tu?
Mdude Nyagali Ndio basi tena kama ilivyokua Ben Rabiu wa Saa nane!Naumia sana nikimfikiria huyu kijana. Namna alivyochukuliwa na “kupotezwa” inanitia simanzi sana. Bahati mbaya/nzuri nimewahi kumfahamu japo kwa kiasi kidogo, kipindi akiishi Vwawa akiwa na ofisi pembeni ya mgahawa wa Mkulima pale Vwawa.
Kosa lake ni lipi hasa la kustahili aliyotendewa? Kuikosoa serikali? Serikali hii haitakiwi kukosolewa? Wengine watasema alikuwa “akiitukana serikali”. Nchi hii haina sheria? Haina mahakama? Kwanini tunaruhusu kama nchi kuingia kwenye laana ya “kuzima” watu bila hatia. Machozi ya mke wake, watoto wake, ndugu na jamaa wa karibu yanatuachia laana kubwa.
Nauliza, kwahiyo ndio Mdude Nyagali ndio amepotea hivyo? Yaani hivyo tu?
We have to wake up.Tz tumelelewa katika namna ya kuwa wavivu kuchukua hatua ila kushangaa na kulaumu halafu tunamuachia Mungu.
Why? Too lazy to do anything.