Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

Ukimsikiliza mdude uratambua, Wewe una hoja za kishenzi kabisa, lzm ushabihiana na mbwa toka akili mpaka tabia
Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
 
MMagu
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.

..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.

..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.


Magufuli alikuwa shetani halisi.
 
Watekaji ndo hao hao wenye uwezo wa kutafuta watekaji
 
Kwahiyo Chadema inaweza kuteka mtu na kumpeleka mahakamani kumbambikia kesi.ujinga wako hauna manufaa kwa Taifa.
Huyo Countrywide badala ya kuitumia JF kujifunza mambo mbalimbali yeye anaitumia kuonyesha ujinga wake na umbumbumbu. Wapo kadhaa, asubuhi hadi usiku wapo humu lakini hawabadiliki kiakili
 
Chadema inajinasibu kuwa na wanasheria wabobea, nashangaa kwa nini wasimsaidie kuitafuta haki yake mahakamani!
Haki hutafutwa inapopatikana ndugu!
Samak hai hupatikana majini.
Sasa waitafute haki wapi kwa hali hii?
 
Mbowe ahojiwe zaidi kwa haya aliyopitia huyu mwehu
 
Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. Nashauri DJ akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Ukiambiwa magufuli aliua watu na kuwatupa kwenye viroba unakata mauno kama hadija kopa
Wapo wapi hawa?
Ben Sanane
Anzori gwanda
Akwilin akwilin
Nani aliamuru Tundu lisu apigwe risasi?
 
Mmbona wewe na gwajima mnaamini kwamba jiwe waliuwawa lakini hamuendi mahakamani?

Acha mawazo ya kifedhuli na kishetani mama magufuli sukuma gaaaaang
Hatuna ushahidi, nyie mnao nendeni.
 
02 May 2022

''Wananchi wasilisheni malalamiko yenu (THBUB) Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora'' - Mkurugenzi wa Uchuguzi THBUB



  • THBUB ni idara huru
  • Jukumu kuu THBUB ni kuisimamia serikali
  • Inafuatilia malalamiko
  • Kucheleweshewa haki
  • Upelelezi kucheleweshwa
  • Mafao, pensheni, michango kwenye michango ya jamii
  • Takwimu za malamiko mfano kipindi cha yalifikia 1895
  • Ushirikiano na taasisi inayolalamikiwa
  • Masuala yanayopewa Uchunguzi wa haraka
  • THBUB hutoa mapendekezo taasisi iliyolalamikiwa na nakala kwa yule aliyelalamika
  • Wito wa THBUB kwa taasisi zote zitekeleze wajibu wao vizuri
  • Wananchi wawakilishe na THBUB pale wanapokuwa na malalamiko au kero katika ofisi za kanda na pia makao makuu Dodoma
Wananchi na wadau wawasiliane kwa kufika ofisini, kutuma ujumbe kwa simu au barua pepe anuani bofya hapa kwa mawasiliano : THBUB | Mwanzo

Source : Gilly Bonny TV
 
TOKA MAKTABA

3 Juni 2021

MDAU WENU MKUBWA WA KUSHIRIKIANA NAE NI TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA



Aliyekuwa waziri wa sheria na katiba, Profesa Palamagamba A. Kabudi azungumzia mamlaka ya THBUB ya kuweza kufunga kesi mahakamani juu ya malalamiko ya ukiukwaji wa haki za binadamu , hivyo wananchi na wadau wakitumie chombo hiki huru cha THBUB Tanzania .
 
5th May 2019

Another government critic abducted in Tanzania​


Ansbert Ngurumo

Comments

Photo : Mdude Nyagali - COURTESY

ANOTHER civilian has been abducted in Tanzania. As a wave of political abductions in the East African country was seemingly dwindling in the past few months, a group of “masked and armed police” hijacked Mdude Nyagali, a computer software trader, social media activist and critic of President John Magufuli.

Masked police officers found Mdude in his shop at Vwawa, Mbozi District, in Songwe Region, on Saturday evening May 4, 2019 and took him. Eye witnesses say the incident involved four hijackers in two cars. In the course of forcefully dragging him from his shop to one of their vehicles, the men severely beat him up as he resisted and shouted for help.

“This incident follows an order from above, and Mdude may not be back because the hijackers’ motive is to silence him once and for all. They want to remain unknown but everyone knows who they are and where they are from,” an anonymous informer told SAUTI KUBWA.

As of now, his whereabouts are unknown. His relatives and friends went to a local police station to enquire about him, but police at Vwawa denied knowledge of the incident, saying they had not been involved.

In a more worrying reaction, police refused to officially record the incident.
President Magufuli has been on a working tour of Mbeya and Songwe regions since last week, and word is out that, in a bid to stop Mdude from incessantly embarrassing him on social media, he ordered him contained before the end of his tour. People used to Magufuli’s working style may not doubt this information.


The president and his surrogates are openly perturbed by Mdude’s critical posts, particularly his exposure of how police tortured him when they arrested him in August 2016 for insulting the president.

A few weeks ago, a ruling party zealot openly threatened Mdude’s life on his Facebook page saying.”your days are numbered.” Police never took action.

On March 24, through a Facebook post, one Abusadik Banzi Banzi, writing a vulgar tone, in Kiswahili, threatened Mdude in a the post that translates to something like: “Mdude, your days are numbered. Soon, you will join your colleague Tundu Lissu.” Lissu is Member of Parliament for Singida East who survived an assassination attempt on September 7, 2017. He is still undergoing treatment in Brussels.

On April 4, 2019, Mdude responded by posting Banzi’s brief profile as “A 34-year old stalwart of the ruling party (CCM), resident of Elera ward in Arusha Municipality, who has been personifying as a security operative of the Tanzania Intelligence and Security Services (TISS).”

The main opposition party has issued a statement condemning this heinous deed, calling on police to release him unconditionally. Activists yesterday took to social media with hashtags carrying similar demands – #BringBackMdudeALive.

Sources say the hijackers’ main motive is to assassinate Mdude within the first 24 hours, and that by late evening they had injected him with drugs and had changed vehicles on way to their base in Dar es Salaam, about 800 km away. If, for any reason, that mission is delayed or foiled, they are planning to charge him with a serious criminal offence.
This is not the first time Mdude is being held by police, tortured and transported from his home region to Dar es Salaam. He is a survivor of various forms of torture inflicted upon him under police custody in secret places.

In August 2016 police arrested him for allegedly insulting the president on social media.
When he was eventually rescued, he narrated the entire ordeal and recorded his statement in short video clips. He put some information in writing, mentioning places, names and designations of people that had tortured him, and types of heinous tortures they had inflicted on him before he was rescued. SAUTI KUBWA has a copy of his Kiswahili manuscript of the narrative.

No doubt, Magufuli’s “unknown people” are still at work to silence critics. But this time, unlike in 2016, the world is watching more closely. The search for Mdude goes on.
Since Magufuli came to power in 2015 many people who have found themselves on the wrong side of the president have suffered ineffable consequences including arbitrary arrests, abductions, tortures, and killings.

The latest serious case of abduction occurred in October 2018 involving Africa’s youngest billionaire Mohammed Dewji. He was abducted and released in style. But many others – including activist Ben Saanane and journalist Azory Gwanda – are still missing since 2016 and 2017, respectively,
For the sake of records, some of Mdude’s video clips on a previous incident will be attached here.
Clip ONE
His story is still unfolding.

Source : Another government critic abducted in Tanzania - Sauti Kubwa
 
Back
Top Bottom