Hii tume sijui huwa inafanya nini
Kazi yao ni kila siku kukutana na wafadhili toka nje na kufuatilia bajeti ya wizara ya Katiba na Sheria inaposomwa mara moja kwa mwaka ktk Bunge la Bajeti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tume sijui huwa inafanya nini
Slaa kishasema mna tabia ya kutekana. nashauri dj akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Kamuwashe bi mdashi wako yuko tu home anasubiri.Huwa nikilisikiliza visa kama hivi huwa natamani tukiwashe
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.
..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.
..Msikilizeni Mdude akitoa ushuhuda wake kuhusu yaliyomtokea.
Chadema inajinasibu kuwa na wanasheria wabobea, nashangaa kwa nini wasimsaidie kuitafuta haki yake mahakamani!Si aende mahakamani!
Acha u kei basi?Kamuwashe bi mdashi wako yuko tu home anasubiri.
Huyo Countrywide badala ya kuitumia JF kujifunza mambo mbalimbali yeye anaitumia kuonyesha ujinga wake na umbumbumbu. Wapo kadhaa, asubuhi hadi usiku wapo humu lakini hawabadiliki kiakiliKwahiyo Chadema inaweza kuteka mtu na kumpeleka mahakamani kumbambikia kesi.ujinga wako hauna manufaa kwa Taifa.
Haki hutafutwa inapopatikana ndugu!Chadema inajinasibu kuwa na wanasheria wabobea, nashangaa kwa nini wasimsaidie kuitafuta haki yake mahakamani!
Hili ndio huwa najiuliza sana.Chadema inajinasibu kuwa na wanasheria wabobea, nashangaa kwa nini wasimsaidie kuitafuta haki yake mahakamani!
Nadhani wanafanya kulingana hadhi na madaraka ya mtu ndani ya chamaHili ndio huwa najiuliza sana.
Akina Kibwetele si wapo au wanafanya kulingana na hadhi ya mtu wala si Haki ya mtu?
Mahakamani bwashee!Haki hutafutwa inapopatikana ndugu!
Samak hai hupatikana majini.
Sasa waitafute haki wapi kwa hali hii?
Hovyo kabisaKazi yao ni kila siku kukutana na wafadhili toka nje na kufuatilia bajeti ya wizara ya Katiba na Sheria inaposomwa mara moja kwa mwaka ktk Bunge la Bajeti.
Ukiambiwa magufuli aliua watu na kuwatupa kwenye viroba unakata mauno kama hadija kopaSlaa kishasema mna tabia ya kutekana. Nashauri DJ akamatwe aeleze ukweli ni nani anateka watu huko chamani
Acha mawazo ya kifedhuli na kishetani mama magufuli sukuma gaaaaangSi aende mahakamani!
Hatuna ushahidi, nyie mnao nendeni.Mmbona wewe na gwajima mnaamini kwamba jiwe waliuwawa lakini hamuendi mahakamani?
Acha mawazo ya kifedhuli na kishetani mama magufuli sukuma gaaaaang
