Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hao walikuwa washaweka mazingira sawa ya sensa ila tz ndo kwanza tunaweka miundombinu tablets na mtandao...ni gharana...uhamasishajj...ni gharamaMwaka 2010 China ilifanya Sensa na kutumia Yuan Milion 700, sawa na shilingi za kitanzania bilion 236 kwa exchange rate ya leo.
Lakini kinchi kidogo kama Tanzania ambacho ni kama jimbo moja tu la china kinafanya sensa kwa shilingi bilioni 629
Hapa kuna harufu ya wizi!
Hiki cheo cha Makamu wa Rais inabidi tuwe serious nachoSasa ni dhahiri huko serikalini kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake, sijui kwanini Rais hakuwahi kuitolea ufafanuzi ile kauli.
Kwa wale mnaopenda kumlaumu Mdude "anatukana", naona hapo katumia neno vibaka, na kila anayekwapua jina lake ni either mwizi, au kibaka, hapo msimlaumu.
Hii nchi tuseme ukweli imemshinda Samia, matokeo ya kauli zake anazotoa bila kuzichuja naona ndio yametufikisha hapa.
Tuhuma za aina hii zinazidi kuongezeka kila siku, huku Mwigulu na tozo, pale sensa, kule Makamba na $30 million za maintanance, hawa anaowaita wanangu naona sasa wanamuibia mama yao.
Haya yasipochukuliwa hatua mapema ndio yanazidi kuongezeka, inaonekana na wengine nao wanaona kama yule alichota pale hakufanywa kitu, ngoja nami nichote hapa.
Matokeo yake Samia anapozidi kuchelewa ku-react anajikuta anashindwa kuwaadhibu kwa kuogopa kuonekana anawaonea wengine, na serikali yake ndio itazidi kuchafuka na kupoteza imani kwa watanzania, naona sasa tunarudi kule kwa JK.
Huku kwetu yamejaa majizi tupuMwaka 2010 China ilifanya Sensa na kutumia Yuan Milion 700, sawa na shilingi za kitanzania bilion 236 kwa exchange rate ya leo.
Lakini kinchi kidogo kama Tanzania ambacho ni kama jimbo moja tu la china kinafanya sensa kwa shilingi bilioni 629
Hapa kuna harufu ya wizi!
Tumeshawahi kufanya sensa huko myuma na relatively zilikuwa cheaper.Hao walikuwa washaweka mazingira sawa ya sensa ila tz ndo kwanza tunaweka miundombinu tablets na mtandao...ni gharana...uhamasishajj...ni gharama
Am back from prisonKuna watu wanapenda jela
😳Mwaka 2010 China ilifanya Sensa na kutumia Yuan Milion 700, sawa na shilingi za kitanzania bilion 236 kwa exchange rate ya leo.
Lakini kinchi kidogo kama Tanzania ambacho ni kama jimbo moja tu la china kinafanya sensa kwa shilingi bilioni 629
Hapa kuna harufu ya wizi!
I can see....Kuna watu wanapenda jela
Kuna uhuru wa kuongea lakini hakuna Uhuru wa kuwa huru baada yakuongea note this.
Haiitaji degree kujua kua zoezi la sensa mwaka huu kuna upigaji mkubwa na ulianzia toka zoezi la anuani za makazi ambalo wengine wamelipwa elfu thelathini tu na kuna tetesi wengine mpaka leo wanadai.Ana uahahidi