Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.