Mdude Nyagali: Bil 600 zimekwapuliwa huku makarani wakinyimwa posho na bado zoezi halijakamilika kwa wakati

Mtu akifikia umri fulani akili na hesabu hazipandi...CCM inawapenda watu wa aina hiyo! itawatafuta hadi huko waliko baada yab kustaafu na kuwasukumizia majukumu yanayowazidi kimo,

Kuna watu wanapenda jela
Kama huyu hapa...sijui ameopolewa kwenye dampo gani halafu kazeeshwa kwa nguvu!
 
Una ushahidi wa pesa zimeibwa?Kama unao ushahidi au huo mleta uzi anao ushahidi wa wizi,mngeleta mahesabu hapa,akatuonyesha huo wizi.
 
Huyo anayesema pesa,imeibiwa,atoe ushahidi,wa kimahesabu,atuonyeshe huo wizi.
 
Usifananishe nchi mbili ,zenye jiografia na technologia tofauti.
 
Unashangaza, unakiri bunge limeshindwa kufanya kazi yake halafu hautaki Rais alaumiwe, sasa unataka tufanyeje?! au tuzubae tu hapo!.

Kwanini Rais analaumiwa?

1. Yeye ndie huwaweka sehemu kubwa ya hao watendaji wanaoharibu, hivyo anaweza pia kuwaondoa kisheria.

2. Rais ni sehemu ya bunge, hivyo ana uwezo wa kuinfluence anachotaka kikafanywe na bunge lakini hafanyi hivyo, hii nayo ipo kisheria.

3. Rais ana uwezo wa kulivunja bunge lisipofanya vile anataka, hii maana yake Rais yupo juu ya bunge.

Kaisome Katiba ya JMT uone mamlaka ya kimalkia aliyopewa Samia na Katiba ya 1977.

Hii tabia yenu ya kumkwepesha Rais na majukumu yake nawaona wengi wenu mna lengo la kumfichia udhaifu wake tu, nothing else.
 
its,logic, 93% for 7days and another 7days for the remaining 7%. Kuna wakati tunatoa sana maboko ndio maana watu huongea sana.
 
Yani niliposikia tu yule mama amepewa ukamisaa wa sensa nikajua tayari zoezi limesha feli.

Sijui atakuja kuweza kwenye nafasi ipi?? Wakati wa bunge lake ilikuwa ni upupu tu unaendelea.

Hii nchi inabidi tuifanyie reformation vingenevyo hatufiki popote...
 
watakwambia China inatengeneza yenyewe vishikwambi.Lakini je,kwanini msiagize in bulk ambayo ingepunguza gharama hizo!(pengine mlifanya hivyo)
Ukweli hata mtoto wa std IV anaweza kuona kuwa angalau B.50,70 pengine 100 kabisa ziliingia mikono ya wapuuzi!!
 
Broo umepika hii billion 236 hpn labda ukimbia kila Jimbo limegarimu hiyo watu billion mbili jmn utumie pesa hyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa kanichekesha yaani yeye kwake mzunguko wa pesa unatokana na pesa za umma kukwapuliwa. Haha ipo mambo!
Vichaa ni wengi
Kuna meli inakuja hivi karibuni ya kutoka Ukraine, inaleta nafaka. Ukraine wapo kwenye Vita Ila bado wanatuletea nafaka, badala ya sisi kuwapelekea wao. Sisi tukianza kuwapelekea wao ndio pesa inaingia mtaani na ndio uzalishaji wenyewe huo.
 
Huyo anayesema pesa,imeibiwa,atoe ushahidi,wa kimahesabu,atuonyeshe huo wizi.
Wewe una matatizo ya akili? Wapi hapo nimesema pesa imeibiwa? Haata hivyo kwani pesa haiibiwi? Si kila report ya CAG inaonyesha hivyo? Na ndio hoja yangu ilipo hapo endapo kweli imeibiwa japo sijaona kwenye sensa pesa ilipoibwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…