Mdude Nyagali: Bil 600 zimekwapuliwa huku makarani wakinyimwa posho na bado zoezi halijakamilika kwa wakati

Hatuwezi kutumia pesa za walipa kodi kwa ajili ya zoezi ambalo halina tija kwa wananchi. Kwa kifupi zoezi la sensa limefeli na sina uhakika kama litatoa matokeo chanya yaliyokusudiwa zaidi ni wajanja wachache kuendelea kupiga hela kwa kumshauri raisi vibaya.. raisi wetu amezungukwa na wasaidizi wa ovyo kabisa
 
Wakati mporipori anamkataa huyu mtu,chama kikamkazia akaona anyway sio ishu,kumbe alijua siku moja itabidi amuachie kijiti😁😁😁
Kama nchi tuzame kwenye maombi.
Hakuna ndani ya CCM aliyekuwa na balls za kumpangia mporipori nani awe Vice Presiden katika awamu yake ya pili. Alikuwa ameshawatuliza wote wanatetemeka kama wamemwagiwa maji baridi....

Ni yeye mwenyewe na tabia ya Watanganyika kushobokea Wazanzibar na li Muungano hili la CCM ndio kumemponza. The thankless ladybug is dancing on his grave now.
 
Na sasa ndiyo tunalipia makosa yake
 
Back
Top Bottom