figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ni kweli. Sidhani kama atapatikana tena hai. Tunachoweza kufanya ni kuchunguza kwa undani na kujua walau watu walio nyuma ya huu unyama. Mkuu wa polisi wa mkoa anahusika na anajua kila kitu.Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka.
Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.
Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.
Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.
Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.
Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.
Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.
A luta continua, vitória é certa'.
Mkuu unaandika nini!? Hujui kuwa vibaraka wa mzanzibar na mzanzibar mwenyewe wameamua kutumaliza watanganyika,amka mkuu,Hali ni mbaya,no one is safeNi kweli. Sidhani kama atapatikana tena hai. Tunachoweza kufanya ni kuchunguza kwa undani na kujua walau watu walio nyuma ya huu unyama. Mkuu wa polisi wa mkoa anahusika na anajua kila kitu.
Bro embu ondoa hiyo picha ya dictator kwenye avatar Yako, damu za watu hazitamuacha salama huyo bibi.Mkuu unaandika nini!? Hujui kuwa vibaraka wa mzanzibar na mzanzibar mwenyewe wameamua kutumaliza watanganyika,amka mkuu,Hali ni mbaya,no one is safe
SureAmeniumiza sana! He is gone!
Hata wewe umeamkaMkuu unaandika nini!? Hujui kuwa vibaraka wa mzanzibar na mzanzibar mwenyewe wameamua kutumaliza watanganyika,amka mkuu,Hali ni mbaya,no one is safe
Saa100 ni mnyama!Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa Madaraka. Tumemtafuta kila sehemu. Hadi nimekata tamaa, moyo wangu umekua mweusi, Macho mekundu, mdomo umenikauka na njaa hainiumi. Mwili wangu umekufa ganzi.
Mdude aliamua kufa amesimama kuliko kuishi amepiga Magoti.
Kaacha kitabu ambacho kataja changamoto anazokutana nazo kwenye harakati zake.
Hata hivyo hata hao Polisi hawataishi milele.
Kitu mtu unatakiwa umfanyie mtu ni UPENDO. Unamuua Mtu leo kesho nawe unakufa.
Inauma sana Vijana wa Nchi wanaothubutu kuona wanateketea.
Yote yana Mwisho. Mbele yetu Nyuma yake.
A luta continua, vitória é certa'.
View attachment 3322862
Maneno ya Mwisho ya Mdude CHADEMA.
View attachment 3322864
View attachment 3322865
Mdude kaacha alama.
Uongozi unafaida kama Machozi yanawatoka Wananchi wako na Karo lako la Maji machafu limejaa damu mbichi za watu Unaowaongoza?
Mkuu usilembe manenoInawezekana walikuwa wanamfanyia unyama ule ule waliozoea, ikatokea timbwili kali hadi ikapelekea kumuua. Maana Mdude aliamua hawezi kuchukuliwa kikondoo tena.
Muuaji namba moja ni mkuu wa jeshi la polisi IGP wambura, maana vitendo hivi vina mbariki sana yeye na wafuasi wake.Ni kweli. Sidhani kama atapatikana tena hai. Tunachoweza kufanya ni kuchunguza kwa undani na kujua walau watu walio nyuma ya huu unyama. Mkuu wa polisi wa mkoa anahusika na anajua kila kitu.