Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

Damu zimevuja sana, hadi nkawaza ni amepigwa risasi sehemu gani inayomwaga damu hivi
 
Tatizo kamdomo
 
Baada ya masaa 48 kwa wasio julikana wa awamu hii akikutwa alive ni miracles.

Ni kumuombea tu atoke na uhai, lakini kwa wengi wetu at this point hizo chances ni slims and hope is diminishing by the hour.

So senseless
 
Hata mimi imani ya kupatikana hai Mdude imekuwa ndogo sana kwangu. Mungu kwanini unaruhusu haya kutokea Tanzania?
 
hivi mke wa mdude ni kabila gani? kama mdude alitoka chumbani hadi jikoni atashika mwiko haufai akashika kijiko hakifai akashika kisu cha kukatia nyama ndo akaanza kupambana, wangekuwa na mapanga wangeweza kuwadhibiti, mdude hakuwa na paper spray? hakuwa na manati hakuwa na mkuki? achilia cha moto.

wakati majambazi wanahangaika na grill angeweza kufungua mlango wa mbao na kumwaga mafuta ya kula hivyo angeongeza muda wa mashambulizi, huku akiwatisha na panga na mkuki, mdude alipaswa afe na mmoja wao ili uchunguzi uwe rahisi na haki itendeke. vinginevyo familia ingepitia mlango wa dharura halafu angejilipua kwa gas wakafa wote.

wangeshirikiana kupambana wangeokoa maisha, hawakuwa na mtungi wa gesi wangekata mrija na kisu wakaufungulia na kuuwasha pale mlangoni huku wameelekeza nje waliko majambazi,

yaani dakika kumi zilikuwa za mateso makubwa kashambuliwa kama kasongo

wamasai wanaamini.muda wowote shari linaweza zuka ndo maana wanakaa na sime na fimbo muda wote.
 
kuna mjinga mwingine huyu hapa sidhani kama yuko hai
 

Attachments

  • -446171279.mp4
    1 MB
Natamani ccm iondoke madarakani ili hao watu washotakiwe na kihukumiwa kutokana na maovu yao
 
Damu ya mtu huwa haiendi bure wale wote waliomuua watambue Iko siku yatawarudia wao wenyewe ama familia zao.
 
Uwapi tutakapo shitaki CCM hapa nchini
 
Mdude ni nan!? Kwa wanaomjua wanifahamishe
 
Hili la mdude limeniuma sana…Jana tu nlikua nawaza watu washaanza msahau, Mungu ingilia kati inaumiza mnoo 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…