Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Wewe ndiye kichwani ni debe tupu! Tokea lini madikteta wakawa addressed kwa lugha laini? Magufuli alipokuwa anawaambia watu wabaki na mavi yao nyumbani alikuwa amegrow up?Hazikuwa ni siasa za kishamba? Mkuki ni mtamu kwa Nguruwe ila ni mchungu kwa binadamu siyo?
 
Hata CHADEMA wenyewe hawamwamini.

Walikuwa wanaponda sana siasa zake alipochukua fomu ya kugombea BAVICHA.

 
Infact alionewa

Tafuteni sababu zenye mashiko kumfunga sio kumbambikizia madawa ya kulevya na uhujumu uchumi

Inawafanya nyie muonekane wapuuzi
Wapuuzi sio waliomuweka mwaka mzima gerezani, ni yeye ambaye hakutambua anawaingiza vidole machoni watu wenye uwezo wa kumfanya vyoyote.

na nyinyi mnaompa kichwa ndio kabisa mnamharibu.
 
Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Hata mandela angekuwa muoga kama wewe S.A isingepata uhuru watu kama mdude wasipokuwepo CCM itatawala milele daima na kufanya ujinga wa kila aina
 
Back
Top Bottom