Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mdude dishi limeyumbaMbona yeye ndio ana kipara anauhakika sio yeye aliyenyolewa kweli ?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdude dishi limeyumbaMbona yeye ndio ana kipara anauhakika sio yeye aliyenyolewa kweli ?
[emoji16][emoji16]mama hakujua huyu jamaa hana adabu,akadhani alionewa.
wanasema kunguru hafugiki.Aisee kapewa second chance ni MDA ajifunze na awe mstaarabu hafu ana mzingua mazaa siku akibadilika wataanza kulia lia tena
Mdude Hana nidhamu kabisaKwa kosa la lugha yenye ukakasi?
Nikionaga kijana timamu wa mwili na akili yuko CCM namuona mvivu na mwiziNdo unavyojidanganya? Ama hakika umelewa ujinga.
Sijawahi kuona huu ujinga kwa ZITTO au Mbowe!Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Hawa mataga ni shida sana aiseee , mipumbavu hii ilinyamaza kimya hawakupiga kelele alipopigwa TL, leo Mdude kaongea inaumia na kuhisi kama ccm ndio inaondoka madarakani, mipumbavv kabisaHata mandela angekuwa muoga kama wewe S.A isingepata uhuru watu kama mdude wasipokuwepo CCM itatawala milele daima na kufanya ujinga wa kila aina
Kusema alikuwa na madawa ni uongo, ila kukaa ndani ilikuwa ni haki yake.Kwani aliwekwa ndani kwa kuonewa au madawa ya kulevya ambayo imefahamika ni uongo?
CDM wanalea wahuni Sasa huyo ni mfano gani kwa watu wastaarabu, shauri yake wanao mdaganya yeye ni Mandela Wana mpotezawanasema kunguru hafugiki.
kama jk ndiye mshauri kweli wa mama,inabidi akamuulize sawa sawa juu ya hawa watu.
ni watu wa hovyo sana.
Wewe unasema huku umejificha na I'd feki jitokeze hadharani ubwabwaje maneno yako ili tukuone kuwa wewe sio mnafikiKazi mmezoea kuishi kinafki tu
Ninakibamia wakati nimekuzaa, muulize vizuri bimkubwa baba halisi wako ni nani.ukiona unahonga wamama wazee ujue una kibamia,wenzako wanawatoshereza kisha wanahongwa wao.
Wana mihemko na wamekosa busara Sana zitto na mbowe wako matured Sana ndio maana ni nadra kumkuta zito mikononi mwa police maana anajua mipaka yakeSijawahi kuona huu ujinga kwa ZITTO au Mbowe!
Vijana wengi wa chadema ni kma wanavuta bangi
[emoji38]nimecheka sana hilo jina, huwa mnam brand sana mzee[emoji38], kwamba ni fashisti kama kina MussoliniDooh..
Huyu jamaa alimnyoa vipi fashisti jiwe wakati alisweka ndani na kushindwa kufurukuta hadi Mama alipoingilia?
Hawa wapinzani ni kweli hawana akili muda mwingine.
Kupotea Tena?, Sio sheria kuchukua mkondo??. Mbona mnahalalisha ujinga nyie watu?Huyu kijana atakuja kupotea kisa ujinga wake mwenyewe
Hata mwanzo mlikuwa mnampa kichwa kama hivi ila alipoenda lupango hakuona bavicha hata mmoja akienda kulala nae kumpa moyoWewe ndiye kichwani ni debe tupu!Tokea lini madikteta wakawa addressed kwa lugha laini?Magufuli alipokuwa anawaambia watu wabaki na mavi yao nyumbani alikuwa amegrow up?Hazikuwa ni siasa za kishamba?Mkuki ni mtamu kwa Nguruwe ila ni mchungu kwa binadamu siyo?
Nikiona kijana anashabika CCM namuona mjinga ,mvivu, na asie na akili CCM ina sera gani za kushabikiwa?Hawa mataga ni shida sana aiseee , mipumbavu hii ilinyamaza kimya hawakupiga kelele alipopigwa TL, leo Mdude kaongea inaumia na kuhisi kama ccm ndio inaondoka madarakani, mipumbavv kabisa