Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi ?
Ushasikia kina mwaipaya au pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana
Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana na sidhani mbowe ni mjinga mtu kama wewe ukaja kupata kupata cheo ndani ya CHADEMA usipoangalia kila siku wewe utakuwa mtu wa matatizo tu