Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Wewe ni chizi vitabu kweli yaani...

Yaani upo hapa kufurahia upindindishaji wa sheria na intergirty of our courts by the executive?

Yaani kwavile rais kapenda kuonea mtu basi our precious courts zipindwe mtu aonewe sababu rais hampendi?

Hii ndio precedence gani tunajiwekea kama jamii iliyostaarabika?

Mtu kakutukana,una ushahidi,nenda mahakamani fungua kesi,urgue your case then hukumu ipite huyo mtu afungwe au aachiwe huru

Ila huu unyani wa kugeuza our courts subject to executive ina maana sheria zetu na system yetu ya court ni us3ng3 mtupu!

Wewe bishana na Mdude kama alivyoleta hoja zake na kama kakutukana court ipo,peleka jela acha kuongea kiuonevu na kutojali mifumo na systems zetu sababu eti wewe ni rais

Yaani hii way of dictatorship thinking aliyowaachia Magufuli is a big big problem,na still your brains will never be normal again
Unajaribu kuwaeleza watu ambao Wana closed mind hawaelewi ni majinga hayo
 
Huyu jamaa ajifunze kukosoa kwa staha😬😬😬,la sivyo atakuwa Hana muda mrefu Sana mtaani.
 
Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Waafrica mmejaa unafiki na ujinga mwingi. Kwani kusema "wembe alioutumia kumnyolea Magufuli ndio atakaoutumia kumnyolea Samia " shida ni Nini ?

Sheria ipi inabainisha Hilo ni kosa?

Kama yesu au Mohammed walikuwa wanakosolewa sembuse samia
 
Mkamateni kwani wembe kazi yake nn si kunyolea pia kukatia. Kun ahaja gani kuibembeleza CCM na viongozi wake!
 
Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Kwani yeye ndo wakwanza kuzeekea jela
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana na sidhani Mbowe ni mjinga mtu kama wewe ukaja kupata kupata cheo ndani ya CHADEMA usipoangalia kila siku wewe utakuwa mtu wa matatizo tu.

Huu wembe wake alimnyolea nani??
 
Huyu akibabatizwa kesi ya kumuua Magufuli na kupanga kumuua Hassan atakataa?

Wanajielewa basi, inafaa afinywe awamu hii ndio tujue anajua sheria au hajui, nikumpoteza ndani ya miaka mitatu watakua washamsahau hao wenzie wanaomwita mpambanaji
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana na sidhani Mbowe ni mjinga mtu kama wewe ukaja kupata kupata cheo ndani ya CHADEMA usipoangalia kila siku wewe utakuwa mtu wa matatizo tu.

Hakika huyu kijana anahitaji kufundwa.

Chadema wamtengeneze anaweza kuwa bora kuliko sasa
 
Waafrica mmejaa unafiki na ujinga mwingi. Kwani kusema "wembe alioutumia kumnyolea Magufuli ndio atakaoutumia kumnyolea Samia " shida ni Nini ?

Sheria ipi inabainisha Hilo ni kosa?

Kama yesu au Mohammed walikuwa wanakosolewa sembuse samia
Kamnyoa Magufuli vipi, lini, wapi?

Magufuli kafanikiwa kisiasa -kwa maana ya kushika madaraka- mpaka alivyofariki akiwa rais.

Mdude kamnyoa vipi Magufuli?

Au Mdude ndiye aliyemuua Magufuli?
 
Hivi maamuzi ya mahakama hayana muda kwa muhusika kutojiusisha na matamshi yenye kuudhi kwa kipindi fulani?

Au kusema shauri lake lilihusu only dawa za kulevya?

Je, ikithibitika tena muhusika ni kawaida yake kutumia dawa za kusisimua misuli ya ubongo. Je, wakubwa zake watasema nini tena?
 
Wewe pimbi nani uliemuonea huruma? Nyinyi ndio mliokua mkipiga kelele asitoke, lugha za ukakasi ndio zinakunyima usingizi? Kama kavunja sheria peleka mashtaka mahakamani sio kutupigia kelele humu
Mkuu hata mimi ambaye sio CCM siungi mkono siasa za kitoto hizi, huyu ndg yetu afundwe awe na ushawishi na sio lugha tata
 
Back
Top Bottom