Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

kile chama kina watu wa aina zote, kikubwa ujue kuitukana ccm na viongozi wake tu,hayo mengine mbele kwa mbele.
Hizo ni ghadhabu za Umma unapoiba Uchaguzi unapobambika Kesi unapoua Wananchi

Mungu ametuzawadia midomo fanya HAKI uone kama utaendelea kutukanwa.
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana na sidhani Mbowe ni mjinga mtu kama wewe ukaja kupata kupata cheo ndani ya CHADEMA usipoangalia kila siku wewe utakuwa mtu wa matatizo tu.

ni fundi simu kwahio anashika viwembe sana
 
Kamnyoa Magufuli vipi, lini, wapi?

Magufuli kafanikiwa kisiasa -kwa maana ya kushika madaraka- mpaka alivyofariki akiwa rais.

Mdude kamnyoa vipi Magufuli?

Au Mdude ndiye aliyemuua Magufuli?
Kwani kunyoa ndio kuua? Kwanini udhani mdude ndio alimuua Magu?

Magu si alikufa mdude akiwa gerezani ?
 
Mkuu tusiendekeze ujinga, cdm ni bora sana katika kulea vijana na kuwa bora kabisa.
Huyu apate malezi na awe na lugha ya ushawishi na sio ujinga ujinga huu
Labda alikuwa na jazba, ebu tujipe muda tuone kama ataendelea na aina hiyo ya matamshi yasiyo na nidhamu hata kwa CDM yenyewe.
Mh. Mbowe pamoja na madhaifu aliyonayo kama binadamu lakini speech zake uwa na hekima na busara sana.
 
Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Kosa liko wapi hapo?
 
Sijaona alipokosea, Mdude wembe uliotumia kumnyolea mwendazake, mvue mama ijabu mnyoe na yeye.
 
Hizo ni ghadhabu za Umma unapoiba Uchaguzi unapobambika Kesi unapoua Wananchi

Mungu ametuzawadia midomo fanya HAKI uone kama utaendelea kutukanwa.
haki haipo hata mbinguni,wewe tukana ila hakikisha umeagana na nyonga.
 
Labda alikuwa na jazba, ebu tujipe muda tuone kama ataendelea na aina hiyo ya matamshi yasiyo na nidhamu hata kwa CDM yenyewe.
Mh. Mbowe pamoja na madhaifu aliyonayo kama binadamu lakini speech zake uwa na hekima na busara sana.
Mdude atakuwa kalelewa na Lisu kisiasa!

Unaona Mbowe ni mstaarabu sana na Zitto alilelewa na Mbowe. Zitto huwezi kikuta kafanya ujinga kama huu
 
Mkuu hata mimi ambaye sio ccm siungi mkono siasa za kitoto hizi, huyu ndg yetu afundwe awe na ushawishi na sio lugha tata
Mkuu tunavyojua kuwa nchi inaendeshwa kisheria na katiba, swali je kuna sheria ipi amevunja jamaa na kama ipo upande wa serikali wanao mawakili wamfumgulie mashtaka na kama watamuona na kosa wamfunge kutokana na makosa, je kuna viongozi wangapi wa ccm wanaongea lungha za ukakasi na hata wahawaulizwi kitu, kama kasema magu kauwa kwani hajauwa kweli ?kama kasema ccm ni wizi kwani sio wizi kweli, tatizo kubwa watanzania hatupendi kitu ukweli na ndio maana tunaibiwa sana kwa sababu tumezoea kuishi kinafki
 
kusema alikuwa na madawa ni uongo,ila kukaa ndani ilikuwa ni haki yake.

Ila wale waliojiunganishia bomba la mafuta wao sio haki yao kukaa ndani, maana ni wanaccm, lakini huyo mpepeta mdomo ndio ana madhara zaidi kwa nchi.
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana na sidhani Mbowe ni mjinga mtu kama wewe ukaja kupata kupata cheo ndani ya CHADEMA usipoangalia kila siku wewe utakuwa mtu wa matatizo tu.

Everyone is entitled to some minutes of stupidity, but mdude is abusing that previlege
 
Mimi nachomshauri jemadari Mdude ni kwamba sasa hivi tuna Kiongozi msikivu halafu ni Mama akielekeza Makombora mazito ya Nguoni tutamkimbia.
Uko sahihi, siasa ni mchezo wa akili, jenga hoja kwa hoja...maneno makali na hatua kali kama maandamano ni last option.
Hawajifunzi kwa Kamanda Mbowe?
 
Kuna kitu anakitafuta, wanafanya "provocation politics" ili wakipata "retaliation" iwe "justification" ya kwamba tupo chini ya autocracy !
Is this the best the opposition can do?

Don't get me wrong, I am all for freedom of speech.

But then again, with freedom comes responsibility.

Sasa Mdude kamnyoa nani jamani? Wapi? Lini? Kivipi?

Au ndiyo mazingaombwe ya "fake it until you make it"?
 
Huu ndio uhuru wanaoutaka chadema.

Uhuru wa kumwaga matusi na kudhalilisha!

Wakishughulikiwa wanalia liaa... ohh tunanyanyaswa hatuna uhuru!

Chaaaa!!
 
Back
Top Bottom