KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Sawa nyie mnaojuaWengi wenu ni bendera fuata upepo hamna mnalolijua.
Ngoja tusubiri tuone atanyolewa nani tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nyie mnaojuaWengi wenu ni bendera fuata upepo hamna mnalolijua.
huwezi fanya ujinga sababu na fulani anafanya.Ila wale waliojiunganishia bomba la mafuta wao sio haki yao kukaa ndani, maana ni wanaccm, lakini huyo mpepeta mdomo ndio ana madhara zaidi kwa nchi.
Naam Mbowe ni mwalimu mzuri na makini katika siasa za upinzani na Tanzania.Labda alikuwa na jazba, ebu tujipe muda tuone kama ataendelea na aina hiyo ya matamshi yasiyo na nidhamu hata kwa CDM yenyewe.
Mh. Mbowe pamoja na madhaifu aliyonayo kama binadamu lakini speech zake uwa na hekima na busara sana.
Nchi haiendeshwi kwa sheria na katiba tu.Mkuu tunavyojua kuwa nchi inaendeshwa kisheria na katiba, swali je kuna sheria ipi amevunja jamaa na kama ipo upande wa serikali wanao mawakili wamfumgulie mashtaka na kama watamuona na kosa wamfunge kutokana na makosa, je kuna viongozi wangapi wa ccm wanaongea lungha za ukakasi na hata wahawaulizwi kitu, kama kasema magu kauwa kwani hajauwa kweli ?kama kasema ccm ni wizi kwani sio wizi kweli, tatizo kubwa watanzania hatupendi kitu ukweli na ndio maana tunaibiwa sana kwa sababu tumezoea kuishi kinafki
Akiendelea hivi kweli atakua hana muda mrefu na atakaemdili wala sio Mh Rais.,Huyu jamaa ajifunze kukosoa kwa staha😬😬😬,la sivyo atakuwa Hana muda mrefu Sana mtaani.
Mpunguze mihemko yenu.Sawa nyie mnaojua
Ngoja tusubiri tuone atanyolewa nani tena
Nadhani uko sahihi, washauri aache lugha Kali.Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.
Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana na sidhani Mbowe ni mjinga mtu kama wewe ukaja kupata kupata cheo ndani ya CHADEMA usipoangalia kila siku wewe utakuwa mtu wa matatizo tu.
Mkuu kwani ww ni mgeni wa siasa, lugha inayotumika kwenye siasa huwa unaitafsiri vipi, kwani mliwahi kukemea pale viongozi wa mataga walivyokua wakitumia lugha kali kuliko hizo? Siasa inamambo mengi sana na kila mmoja anatafsiri kivyakeNchi haiendeshwi kwa sheria na katiba tu.
Wqpinzani wanatakiwa kuwa wakweli, wakidanganya, hata kama hawavunji sheria wala katiba, watavunja uaminifu.
Sasa Mdude kamnyoa nani, wapi, lini, kivipi?
Sasa kama hana kosa mnapiga kelele za nini?!Hapo hamna kosa ila mdude huwa ana lugha isiyo ya kistaarabu
Hela hapana, waamkaoishe chini wamfundishe namna ya kuongea na hadharaNilijua ana akili hata kidogo kumbe ni mwehu kabisa hana lugha ya staha arudishwe jela tena akili imkae sawa anajiona mpambanaji sana
Acheni kumdaganya mdude ajifunnze siasa za lugha ya stahaSasa kama hana kosa mnapiga kelele za nini?!
Hio inaonyeshea jinsi gani mataga mlivyokuwa waogaHuyu anaharibu dhana nzima ya upinzani. Bora akae kimya tu aache wenye akili timamu waongee vitu vya maana.
Haya maneno tunaweza kuyavumilia kwenye mpira, maana kule ni kama hakuna mpaka, lakini kwenye siasa ajaribu lugha nyingine au akae kimya
Nyie ndo mnahemka na kutaka kunyoa watu wkt nyie ndo all time mnanyonyolewa🤣😅Mpunguze mihemko yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa mataga mm huwa wananishangaza sana kwakweliSasa kama hana kosa mnapiga kelele za nini?!
Hujapenda we naniBavicha mkae na huyo mdude.
Mkishindwa mmuache awe MDUDU WA DOLA.
Awe na mipaka kauli zake.
Sijapenda kabisa
Tena katolewa kwa huruma tu huyu angeozea jelaHuyu anaharibu dhana nzima ya upinzani. Bora akae kimya tu aache wenye akili timamu waongee vitu vya maana.
Haya maneno tunaweza kuyavumilia kwenye mpira, maana kule ni kama hakuna mpaka, lakini kwenye siasa ajaribu lugha nyingine au akae kimya
Mkuu, naona kuna heated exchange of nasty words.Its so strange upo hapa kulia mtu anaongea kwa ukali
go to Mars!
Fanya hivi,wewe fata sheria,ukiona kuna libel charges pahala kafungue mashitaka,urgue your case mtu afungwe
Kukaa hapa kulia lia eti Mdude anaongea kwa hasira sana and some other useless blah blah,inaonesha still tupo Third World
Swali langu je Jemadari Mdude alishawahi kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kumtukana Mwananchi yeyote? au kutukana sio kosa la jinai? tokea lini hukumu ya kutukana inakawa ni kutekwa na kubambikiwa kesi? Naomba majibu tafadhali usitoke nje ya Mada.haki haipo hata mbinguni,wewe tukana ila hakikisha umeagana na nyonga.