Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakununua uhuru wake alikubari kujitoa muhangaDooh..
Huyu jamaa alimnyoa vipi fashisti jiwe wakati alisweka ndani na kushindwa kufurukuta hadi Mama alipoingilia?
Hawa wapinzani ni kweli hawana akili muda mwingine.
Ata mandela alikuwa akibezwa ivi iviWapinzani aina ya mdude ni machoko anajiona mandela mjinga huyu dogo
Yaani waliomkamata na jaji aliyemuachia sasa hivi wako wanaangaliana usoni[emoji16][emoji16]Sasa hivi wamfunge Moja kwa moja
Na Sasa hivi ngoja apotezwe bila kuacha ushahidi iwe janga kwa familia. Ajifunnze kuwa na limit na adabu aisee Ben saanane alikujaga kupotea na alikuwa mstaarabu sana tu.
Huyu mdude sio Mandela ni kijana asiye smart na haheshimu wakubwa zake aisee. Mandela hakuwahi tukana watu, hafu watu ka nyie ndio mna mharibu kwa sifa za kijingaHata mandela angekuwa muoga kama wewe S.A isingepata uhuru watu kama mdude wasipokuwepo CCM itatawala milele daima na kufanya ujinga wa kila aina
Aisee kapewa second chance ni MDA ajifunze na awe mstaarabu hafu ana mzingua mazaa siku akibadilika wataanza kulia lia tenayaani waliomkamata na jaji aliyemuachia sasa hivi wako wanaangaliana usoni[emoji16][emoji16]
kwamba unaona sasa jamaa yako??
Kwanini alifungwa mandela?Huyu mdude sio Mandela ni kijana asiye smart na haheshimu wakubwa zake aisee. Mandela hakuwahi tukana watu, hafu watu ka nyie ndio mna mharibu kwa sifa za kijinga
Vijana wanadai wasichokijua. Afu hajui kudai uhuru wakati unae mdai ni kiazi wa kudumu. Wanazani wanamdai mkoloni kwamba atahama nchi arudi kwao.hata waliomuonea huruma wanaanza ku doubt nakuhakikishia huyu in few days utaanza kuona matusi yake kwa Rais samia na huyu ni mwanamke nina hakika itakuwa sensitive sana
Kwa kosa la lugha yenye ukakasi?Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha
Mimi mwenyewe nilifikri amekoma kumbe bado hana adabuNilijua ana akili hata kidogo kumbe ni mwehu kabisa hana lugha ya staha arudishwe jela tena akili imkae sawa anajiona mpambanaji sana
ukiona unahonga wamama wazee ujue una kibamia,wenzako wanawatoshereza kisha wanahongwa wao.Huenda mm ndie ninaekulisha kwa kumhonga bimkubwa wako
Huyu kijana atakuja kupotea kisa ujinga wake mwenyeweNgoja tuone siku 45 kama atakua kajifunza na kama bado kazi itaendelea vizuri ili akajinyoe mwenyewe.
Ndo unavyojidanganya? Ama hakika umelewa ujinga.Hata mandela angekuwa muoga kama wewe S.A isingepata uhuru watu kama mdude wasipokuwepo CCM itatawala milele daima na kufanya ujinga wa kila aina