Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Inaonekana hujielewi wala hujitambui,futa upuuzi wako uliotuchorea hapa
Kosa la Mdude na yale ya Shujaa ya kuelekeza kuteka, kutesa, kuua na kubambika nani alipaswa awe jela 'mjusi' wewe!
 
Dah nasikitika hujanielewa au unajitoa ufahamu awamu hii ni nani kawapa uhuru watu walioonewa kama si Mama Samia.
 
Tatizo ni elimu duni ya wakosoaji wa uyu mdude
 
Huyu mjinga mdude amevimba kichwa Sana. Ajiyafakari vizuri. Siasa anazofanya zilifaa tu kwa Shetani Magufuli. Asome alama asituletee uchuro.
CHADEMA fungeni mbwa yenu.
 
Mkuu hapa una maana gani? Unatetea violence?

Ukitetea violence ya Macron kupigwa kibao, tetea pia violence ya upande wa serikali kuua.

Mimi naweza kutetea uhuru wa wananchi kutukana viongozi wanavyotaka, bila ku face Lese Majeste laws, lakini wakianza habari za violence siwezi kutetea.
 

we jamaa bana, kwani utawala ni mtu mmoja? akifa mmoja kuna mwingine anachukua nafasi sasa umeandika nn
 
Huyu mjinga mdude amevimba kichwa Sana. Ajiyafakari vizuri. Siasa anazofanya zilifaa tu kwa Shetani Magufuli. Asome alama asituletee uchuro.
CHADEMA fungeni mbwa yenu.

mwacheni fundi simu
 
we jamaa bana, kwani utawala ni mtu mmoja? akifa mmoja kuna mwingine anachukua nafasi sasa umeandika nn
Unajielewa Sana , Basi tu upo uko, mungu anasema atakufungua , maana wengi mko kule Basi tu mtafanyaje achia V8 ,ila anakwambia KWA uwezo wako mkubwa ulio nao ustahili kuwa uko , CCM kazi yake nikualibu vipaji vya watu, tafadhali pokea ujumbe huu na KWA imani yako muombe Mungu Kama nasema uongo njoo jf na kanusha ,pesa ni mapambo ila history ya mtu ni muhim ,chukua atua mkuu
 
Anachezea sharubu za babu. Anabeep akija kupigiwa asije akalalamika.hana adabu huyu fundi computer wa chadema.

Hajui jamhuri inaweza ikakata rufaa na karudi ndani 30 yrs kama abdul Nsembo baye nabashiri atakuja kutoka within 5 yrs to come
 
Chadema Siasa zao hizi za kijinga wala hazitawasaidia lolote...Nyagali si Angajenga Japo Ofisi Ya mtaa wake huko Kwao anaweza kumwambia Mkuu wa Nchi atamnyoa?? Huu upuuzi Mama Hawa wafix wasikuchukulie poa.
 
Dooh..

Huyu jamaa alimnyoa vipi fashisti jiwe wakati aliswekwa ndani na kushindwa kufurukuta hadi Mama alipoingilia?

Hawa wapinzani ni kweli hawana akili muda mwingine.
Wanahitaji msaada mkubwa kiakili.
 
Mkuu hata sheria inakataza wewe kuingiliwa kinyume na maumbile, lakini tunajua unatafunwa.

Lakini sababu unaliwa sirini sio ishu kwa raha zako, ukianza kutangaza hadharani utapata tabu sana.
Hahaa we jamaa umenichekesha sana.
 
Haya bwana, hawa ndio wanapambana wananchi wapate katiba mpya!!!
 
Dooh..

Huyu jamaa alimnyoa vipi fashisti jiwe wakati aliswekwa ndani na kushindwa kufurukuta hadi Mama alipoingilia?..
Kauli zake sio nzuri upinzani ujitafakari na hawa wahuni mbona kuna lugha za staa tu zinatosha kushambulia jukwaa na watu wakakuelewa. Walio jiran naye wampe somo aache haraka kauli za kipumbafu
 
Anachezea sharubu za babu. Anabeep akija kupigiwa asije akalalamika.hana adabu huyu fundi computer wa chadema.

Hajui jamhuri inaweza ikakata rufaa na karudi ndani 30 yrs kama abdul Nsembo baye nabashiri atakuja kutoka within 5 yrs to come
Wewe ni mwana ccm yupi Kati ya makundi yale manne?
 
Ivi ile nyimbo ya [emoji445][emoji444][emoji443] wembe ni uleule[emoji445]🪕. Kwani ni matusi au kwa sababu maneno katoa mdude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…