Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Kosa la Mdude na yale ya Shujaa ya kuelekeza kuteka, kutesa, kuua na kubambika nani alipaswa awe jela 'mjusi' wewe!Inaonekana hujielewi wala hujitambui,futa upuuzi wako uliotuchorea hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa la Mdude na yale ya Shujaa ya kuelekeza kuteka, kutesa, kuua na kubambika nani alipaswa awe jela 'mjusi' wewe!Inaonekana hujielewi wala hujitambui,futa upuuzi wako uliotuchorea hapa
Yes that is nature issue, so what is your idea Bro?Unlike brain the stomach will alert you when is empty
Dah nasikitika hujanielewa au unajitoa ufahamu awamu hii ni nani kawapa uhuru watu walioonewa kama si Mama Samia.Mama yako amehusikaje na kesi ya mdude?nyie ndo mnasababisha wazazi wenu watukanwe kama mama yako alienda kuhusika huko leo hii watu wakijua wa ccm wakamdhuru utalaumu?so wote wanapenda mdude awe huru.na usipende kujikweza. Aje amshukuru mama yako kwa lipi?ndo alikuwa hakimu?hakutumia sheria alitumia huruma?kesho na baba yako naye akifanya kitu utakuja kusema flani amshukuru baba....nyie wabongo mnapenda sifa za kijinga sana
Tatizo ni elimu duni ya wakosoaji wa uyu mdudeBaadhi ya watu humu ni WAPUMBAVU kabisa, wanashindwa ku - reason masuala. Hakuna ukakasi wala kosa la kisheria kwenye kauli ya Mdude, kwa nini mnaanza kusema arudi gerezani?
Mwendazake hakumshtaki kwa kosa la kauli zake maana alijua siyo kauli zenye kosa kisheria ndiyo maana akatafuta makosa ya kubumba ya dawa za kulevya!
Sasa mnasema awe makini katika lipi? Kama kauli zake ni kosa kisheria kulikuwa na haja gani kubumba makosa ya jinai ya dawa za kulevya?
Rais wa nchi ni MWAJIRIWA wa umma, lazima afate matakwa ya Katiba na sheria zingine za nchi. Kuna masuala siyo HISANI yake, anapaswa kuyafanya kwa kuzingatia katiba na sheria. Mdude kaweka wazi kuwa kama ataenenda kinyume na Katiba na Sheria alizo apa kulinda basi ataambiwa kweli na wazi kabisa bila kumung'unya maneno.
Mwendazake utawala wake ulikiuka katiba na sheria za nchi ambazo leo hii Mama anafanya masahihisho tunamsifia, ila watu wanamshangaa Mdude badala ya kushangaa na kupiga kelele kwa wanaofanya mambo ya hovyo kinyume na sheria!
Rais kama hawezi kusikia lugha za kukosoa, aache watu wengine wachukue nafasi yeye arudi Zanzibar akalime karafuu na kula urojo.
Mkuu hapa una maana gani? Unatetea violence?Ccm ni wajinga sugu,Rais wa Ufaransa Emmanue juzi juzi kapigwa kofi usoni na raia wa kawaida lakini wananchi walio hojiwa wakasema,kijana yule ameonesha ni jinsi gani hakubaliani na utawala wa Macro.Ingelikuwa hapa tz kijana yule angeliuawa palepale.Ndiyomaana tunahitaji katiba mpya ili kuondokana na rais Mungu asiye kosolewa
Kwamba huwezi tishia tawala, wao ni nani na mbele za mungu wao ni nani,mfano tawala ikiwa wao watabaki mile? Si waumiza mwili tu nani hatakufa
Binasi naaminin tangu mwanadam ametoka tumboni mwa ***** siku tarahe ya kufa kwake ilisha andikwa, afe vipi, mazingira yapi ,na hakuna kipya,wapo wasiojulikana watamteka mbatizaji 47 na watamua,ikitokea ndivyo alivyoandikiwa basi ,tusitishane hapa,kwamba serikali ,Iyo serikali ya nani, ? Nikitangulia nitawasubili kuwachapa viboko mmoja wa mwingine maana tutakua sawa hakuna Cha tiss Wala rais ,ni viboko tu maana wore tutakua twafanana
Huyu mjinga mdude amevimba kichwa Sana. Ajiyafakari vizuri. Siasa anazofanya zilifaa tu kwa Shetani Magufuli. Asome alama asituletee uchuro.
CHADEMA fungeni mbwa yenu.
Unajielewa Sana , Basi tu upo uko, mungu anasema atakufungua , maana wengi mko kule Basi tu mtafanyaje achia V8 ,ila anakwambia KWA uwezo wako mkubwa ulio nao ustahili kuwa uko , CCM kazi yake nikualibu vipaji vya watu, tafadhali pokea ujumbe huu na KWA imani yako muombe Mungu Kama nasema uongo njoo jf na kanusha ,pesa ni mapambo ila history ya mtu ni muhim ,chukua atua mkuuwe jamaa bana, kwani utawala ni mtu mmoja? akifa mmoja kuna mwingine anachukua nafasi sasa umeandika nn
Wanahitaji msaada mkubwa kiakili.Dooh..
Huyu jamaa alimnyoa vipi fashisti jiwe wakati aliswekwa ndani na kushindwa kufurukuta hadi Mama alipoingilia?
Hawa wapinzani ni kweli hawana akili muda mwingine.
Hahaa we jamaa umenichekesha sana.Mkuu hata sheria inakataza wewe kuingiliwa kinyume na maumbile, lakini tunajua unatafunwa.
Lakini sababu unaliwa sirini sio ishu kwa raha zako, ukianza kutangaza hadharani utapata tabu sana.
Unamkumbuka kauli zaHakika hizi kauli si nzuri, aonywe.
Kauli zake sio nzuri upinzani ujitafakari na hawa wahuni mbona kuna lugha za staa tu zinatosha kushambulia jukwaa na watu wakakuelewa. Walio jiran naye wampe somo aache haraka kauli za kipumbafuDooh..
Huyu jamaa alimnyoa vipi fashisti jiwe wakati aliswekwa ndani na kushindwa kufurukuta hadi Mama alipoingilia?..
Wewe ni mwana ccm yupi Kati ya makundi yale manne?Anachezea sharubu za babu. Anabeep akija kupigiwa asije akalalamika.hana adabu huyu fundi computer wa chadema.
Hajui jamhuri inaweza ikakata rufaa na karudi ndani 30 yrs kama abdul Nsembo baye nabashiri atakuja kutoka within 5 yrs to come