Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana

View attachment 1837535
View attachment 1839252
Nadhani kama ni lugha chafu na za kijinai kuwatisha watu kuwaua hadharani basi ziko kwa UVCCM
Lakini midomo hii hii inayoyasema ya Mdude haijawahi hata siku moja kukemea ya UVCCM

Mnaanzisha mambo mnayakuza yakiwarudia mnaishi na kufa midomo wazi.
Pumbav sana


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Watu wamepitishwa kwenye Maisha ya kikatili sana enzi za Meko kiasi wakiona dalili hizo kwa Rais Samia lazima wakemee kwa UKALI!

Hiyo tabia yenu ya kulamba lamba nyayo ndo ilichangia kiasi kikubwa tukapata Utawala dhalimu hapo nyuma.

Actually I will always stand with MDUDE, nyie mumuone kakosea sijui kafanyaje.

1. Hivi Ulishawai kung'olewa Meno bila ganzi wewe? Piga picha uvutwe Jino na ile PRAIZI..utupwe katikati ya msitu wenye wanyama wakali.

2. Ufungwe Mwaka mzima kwa vitu vya kusingiziwa...kuna watu wanajinga sana hii nchi.
IMG_20210704_085335.jpg


Mnaoshauri watu wakosoe kwa staha ni vema muwashauri kwanza CCM wawe na staha maana kukosa kwao staha ndo kumetufikisha hapa tulipo.
 
Anajitosheleza kutukanwa? Mfumo dume umesema? Hapa unapotosha au umepotoshwa, mfumo dume ni nini haswa?

Mbona miaka 5 iliyopita hatukusikia hizi critics?
Mfumo dume ni kumuona Rais kama mwanamke na siyo Rais. Unamuonea huruma kama mwanamke jambo ambalo kiuongozi si sawa kabisa.
 
Uhuru wa kujieleza unatumiwa vibaya.... Mama ilibidi umuache aendelee kujifunza adabu jela.

Hana nidhamu
 
Mfumo dume ni kumuona Rais kama mwanamke na siyo Rais. Unamuonea huruma kama mwanamke jambo ambalo kiuongozi si sawa kabisa.
Ni sawa boss, raisi hajawahi kuwa unisex. Kama unamaanisha uanamke ni alama ya udhaifu, pia siwezi kukupinga, angalau imani nyingi zinasema hivyo, elimu ya afya pia inasema hivyo, nadhani hata mfumo wa matokeo ya kidato cha sita kuingia vyuo, kuna huruma inafanywa kwa watoto wa kike.

Kwenye familia kadhalika, na kwenye uuambaji pia kuna upendeleo, feminine and masculine sio?

Kwenye imani ya kikristo pengine na ya kiyahudi, wanawake hawakujumuishwa kwenye sensa ya watu.

Kwa uandishi wako, wewe ni -me, kama umebahatika kuwa mwanandoa na baba, ni nani mwenye maamuzi ya mwisho nyumbani kwako?

Nadhani ni wahindi pekee ndio wana miungu wanawake ingawa nao, mwanamke ni baada ya mwanaume.

Ukimuacha Ujerumani, India, Thailand ambapo viongozi wa juu wa nchi wa kisiasa ni wanawake, ni uwiano gani uliopo kati ya viongizi -ke na -me?

Ndivyo maisha yalivyoundwa, ubongo upo kichwani, kichwa kipo juu ya shingo na hivyo ni juu ya mwili, kwasababu ya majukumu yake, ndio maana kikawekwa hapo.
 
Mi sielewi vile alivomnyoa mtangulizi

Alieelewa anieleweshe tafadhali
 
Unathibitisha mwendazake na sasa mama ndiyo wanaozielekeza mahakama ya nini cha kufanya!

Jambo la hatari kabisa lenye kuhitaji kuwekwa sawa mapema iwezekanavyo.
Soma na kuelewa usiende kama bata. La Mwendazake halina ubishi kuwa alikuwa anabamnikiza kesi watu na Mahakama alizitisha.

Kauli ya SSH tumeisikia wote alizielekeza Mahakama kutenda HAKI na aigiza TAKUKURU na POLISI kuacha kubambikiza kesi
 
Magufuli alitaka kumuadabisha Mdude kwa kumfunga...hatoamini macho yake anaweza kuona utawala huu mwepesi lkn ndo utakaomuua kabisa na huo wembe wake wakakatane na wafu wenzake huko kaburini...
Dogo anajiona legendary..hajui kua anaekuchekea ukimtukana..anaweza kukuua uku anacheka ivoivo
 
Soma na kuelewa usiende kama bata. La Mwendazake halina ubishi kuwa alikuwa anabamnikiza kesi watu na Mahakama alizitisha.

Kauli ya SSH tumeisikia wote alizielekeza Mahakama kutenda HAKI na aigiza TAKUKURU na POLISI kuacha kubambikiza kesi

Kwamba, JPM alikuwa akiziamuru TAKUKURU na polisi kuwabambikia watu kesi na zimekuwa zikifanya hivyo, ushukiriwe sasa ujio wa Mama. Jambo la kheri na pigo kwa legacy ya mwendazake.

Kwamba kumbe haki na salama yetu inategemea tu nani yuko madarakani? hii ni hatari zaidi kuliko hata nilivyokuwa nimeangazia mapema.

Kwa hakika mahakikisho ya hali zetu kwa mujibu wa katiba ni jambo la lazima na la dharura sana kwa wananchi wote.

Soma kuelewa jombi. Nikikuitisha pia kutokusoma kama BATA, nitakuwa nimefanana kwa umburula na wewe, ambayo katu si nia yangu!
 
Waambieni ccm hili kabla ya kumwambia Mdude. Kule ccm kuna nyimbo hadi zinatishia kuchanachana watu na kuwatupa!
Au kwa kuwa zina midundo ndo maana hamsikii vile viapo na vitisho??
Tumieni common sense kama mnazo!!
Matatizo ya makuzi na malezi
 
Gerezani sijui kuna nn, kuna watu wakitoka hawataki kurudi tena halafu kuna watu watataka kurudi tu.
 
Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Unayajua makosa ya kumfunga mtu kifungo cha maisha au unasema tu ?
 
Ccm ni wajinga sugu,Rais wa Ufaransa Emmanue juzi juzi kapigwa kofi usoni na raia wa kawaida lakini wananchi walio hojiwa wakasema,kijana yule ameonesha ni jinsi gani hakubaliani na utawala wa Macro.Ingelikuwa hapa tz kijana yule angeliuawa palepale.Ndiyomaana tunahitaji katiba mpya ili kuondokana na rais Mungu asiye kosolewa

We unaweza kumpiga kibao mzazi wako sbb hukubaliani nae jambo fulani?
 
Unayajua makosa ya kumfunga mtu kifungo cha maisha au unasema tu ?
This is Africa bro wake up unaweza kupotezwa ikabaki hasara kwa familia Yuko wapi Ben saanane, watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Back
Top Bottom