Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Hajakosea, hapana. Lakini watu wengi wakiona kakosea, basi atakuwa kakosea, tofauti na hayo, basi waelimishwe au yeye aelimishwe. Kosa ni dhana tu hapa.
 
Wembe ni ule ule.

CCM wenyewe walishasema hivi siku nyingi sana.

"Kunya anye kuku, akinya bata ameharisha"
Kuna kauli huwa tunasema hivi "Kila eneo lina mazungumzo yake."

Kuna kauli mtu huwezi kumwambia mtu mwingine,mathalani kuna kauli mtoto hawezi kumwambia baba yake au mama yake au mtu mwemye nafasi kwake,ikitokea amemwambia basi mtu huyo husemwa amekosa adabu.

Katika watu walio faulu hapa duniani ni mitume na manabii na wafuasi wao,na hakuna watu walio ishi kwa dhiki na kudhulumiwa kuzidi mitume,manabii na wafuasi wao. Kwa hali hizo zote hakuna mafundisho ya mitume,wala manabii wala wafuasi wao walifundisha kuwakosea adabu viongozi hasa hadharani.

Lakini siku zote watu wenye akili timamu huwa wanawaiga wali fanikiwa,sasa nyinyi wa wembe ule ule tena kwa kiongozi mna waiga kina nani ? Karl Max au ?
 
Tumemsikia sote wakati anatamka hiyo kauli, Mimi mwanayanga nikimwambia Mh. Job Ndugai "Jana tumekunyoa kwa wembe" itakuwa nimekosa staha?. Ni kweli hatujui wembe alioumaanisha Mdude kwenye hiyo Kauli, Kama anasema Wembe waliomnyolea JPM ndo watautumia, Je ni kweli JPM alinyolewa Nywele kama mnavyotaka kumaanisha?. Kwa hiyo "Mtoto akililia wembe aachwe ajikate" nayo haijaelewekaga kwa jamii yetu pia??

Tuache kujipendekeza sana. Tatizo letu sisi ndo yale mambo ya utu wa kiafrika ambayo tunayalazimisha. Kijana amemwambia hivyo Rais wa nchi , siyo mama yake kama inavyotaka kuonyeshwa. Nyumbani Mkubwa akosei , lakini unapokuwa mtumishi wa Umma ni lazima ukosolewe , kutahadharishwa na kusifiwa pia ikibidi. Kama hujajiandaa kwa haya usiombe nafasi ktk ofisi.

Tujiulize Staha ni kumpa mashtaka ya uongo na kumtunza gerezani siku 414? Mdude leo anaonekana 'drug dealer' mtu ambaye havuti hata sigara, nani amemuomba radhi?... Halafu mnataka kumpangia jinsi ya kutoa maoni yake na hata hisia zake mnataka kuziratibu... Nyie hisia zenu nani anaziratibu?

Ieleweke wazi ukiwa ofisi ya Umma, kubali kukosolewa, kusemwa, kuhadharishwa . Muradi Katiba na sheria za nchi zisivunjwe.
ANAYEONA MDUDE AMEKOSEA, ANAWEZA KWENDA MAHAKAMNI KUMSHITAKI AU KUPATA TAFSIRI YA KISHERIA
Mdudu Ndugai alisema mwisho tarehe tatu.Sasa kakalia kitu chenye ncha kali
 
Fuatilieni siasa ktk nchi ambazo demokrasia iko juu matharani Africa ya kusini na nchi jirani ya Kenya, mtakuja kuona kauli kama hiyo ya mdude ni cha mtoto tu.

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi.
 
Ile kauli haina shida

Ni mhemko tu wa wakosoaji hasa ukizingatia aliyeambiwa ni mwanamke basi watu wanaonea huruma jinsia bila kujali kwamba anayeambiwa ana madaraka ya kuweza kuwaumiza watu asipoheshimu katiba.
 
Hajakosea, hapana. Lakini watu wengi wakiona kakosea, basi atakuwa kakosea, tofauti na hayo, basi waelimishwe au yeye aelimishwe. Kosa ni dhana tu hapa.
Mbona Simba jana kanyolewa kwa wembe?

Yaani leo watanzania hawajui maana ya huu Msemo. !!
 
Kuna kauli huwa tunasema hivi "Kila eneo lina mazungumzo yake."

Kuna kauli mtu huwezi kumwambia mtu mwingine,mathalani kuna kauli mtoto hawezi kumwambia baba yake au mama yake au mtu mwemye nafasi kwake,ikitokea amemwambia basi mtu huyo husemwa amekosa adabu.

Katika watu walio faulu hapa duniani ni mitume na manabii na wafuasi wao,na hakuna watu walio ishi kwa dhiki na kudhulumiwa kuzidi mitume,manabii na wafuasi wao. Kwa hali hizo zote hakuna mafundisho ya mitume,wala manabii wala wafuasi wao walifundisha kuwakosea adabu viongozi hasa hadharani.

Lakini siku zote watu wenye akili timamu huwa wanawaiga wali fanikiwa,sasa nyinyi wa wembe ule ule tena kwa kiongozi mna waiga kina nani ? Karl Max au ?
"Nitakachowafanya, mtakwenda kusimulia Shangazi zenu"- Jiwe kwa watu wa Mtwara.

Mlisema si staha?... "Wapumbavu na Malofa"- Mkapa .
Na mengineyo . Je viongozi wana mamlaka ya kuwakosea watu adabu hadharani?
 
Tumemsikia sote wakati anatamka hiyo kauli, Mimi mwanayanga nikimwambia Mh. Job Ndugai "Jana tumekunyoa kwa wembe" itakuwa nimekosa staha?
Mama alisema "Ukinizingua , nakuzingua" .. Je ina tofauti na kauli ya Mdude kuwa "Akizingua na yeye atazinguliwa kama walivyomzingua mtangulizi"

Ni kweli hatujui wembe alioumaanisha Mdude kwenye hiyo Kauli, Kama anasema Wembe waliomnyolea JPM ndo watautumia. Je, ni kweli JPM alinyolewa Nywele kama mnavyotaka kumaanisha?. Kwa hiyo "Mtoto akililia wembe aachwe ajikate" nayo haijaelewekaga kwa jamii yetu pia?

Tuache kujipendekeza sana. Tatizo letu sisi ndo yale mambo ya utu wa kiafrika ambayo tunayalazimisha. Kijana amemwambia hivyo Rais wa nchi, siyo mama yake kama inavyotaka kuonyeshwa. Nyumbani Mkubwa akosei , lakini unapokuwa mtumishi wa Umma ni lazima ukosolewe, kutahadharishwa na kusifiwa pia ikibidi. Kama hujajiandaa kwa haya usiombe nafasi ktk ofisi.

Tujiulize Staha ni kumpa mashtaka ya uongo na kumtunza gerezani siku 414? Mdude leo anaonekana 'drug dealer' mtu ambaye havuti hata sigara, nani amemuomba radhi? Halafu mnataka kumpangia jinsi ya kutoa maoni yake na hata hisia zake mnataka kuziratibu... Nyie hisia zenu nani anaziratibu?

Ieleweke wazi ukiwa ofisi ya Umma, kubali kukosolewa, kusemwa, kuhadharishwa. Muradi Katiba na sheria za nchi zisivunjwe.

ANAYEONA MDUDE AMEKOSEA, ANAWEZA KWENDA MAHAKAMNI KUMSHITAKI AU KUPATA TAFSIRI YA KISHERIA

Ukisikiliza hii nyimbo , jiulize hiyo "Mbwai na iwe Mbwai" ni nini?. Ndo staha?. Lakini kiuhalisia ina maana nyingi na inaweza isiwe hiyo ya shari tunayohisi imemaanishwa na waimbaji.
Wanajisahau sana hao Matanga kauli ya Heri James aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mbona hawakuzikemea
 
Fuatilieni siasa ktk nchi ambazo demokrasia iko juu matharani Africa ya kusini na nchi jirani ya Kenya, mtakuja kuona kauli kama hiyo ya mdude ni cha mtoto tu.

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi.
Umenena Vyema mkuu,
Siasa siyo Sebule ya Familia .
Halafu Mama mwenyewe hajalalamika, Tatizo chawa ndo wanaweweseka
 
Hata nyumbani mkubwa anakosea.
Tumemsikia sote wakati anatamka hiyo kauli, Mimi mwanayanga nikimwambia Mh. Job Ndugai "Jana tumekunyoa kwa wembe" itakuwa nimekosa staha?
Mama alisema "Ukinizingua , nakuzingua" .. Je ina tofauti na kauli ya Mdude kuwa "Akizingua na yeye atazinguliwa kama walivyomzingua mtangulizi"

Ni kweli hatujui wembe alioumaanisha Mdude kwenye hiyo Kauli, Kama anasema Wembe waliomnyolea JPM ndo watautumia. Je, ni kweli JPM alinyolewa Nywele kama mnavyotaka kumaanisha?. Kwa hiyo "Mtoto akililia wembe aachwe ajikate" nayo haijaelewekaga kwa jamii yetu pia?

Tuache kujipendekeza sana. Tatizo letu sisi ndo yale mambo ya utu wa kiafrika ambayo tunayalazimisha. Kijana amemwambia hivyo Rais wa nchi, siyo mama yake kama inavyotaka kuonyeshwa. Nyumbani Mkubwa akosei , lakini unapokuwa mtumishi wa Umma ni lazima ukosolewe, kutahadharishwa na kusifiwa pia ikibidi. Kama hujajiandaa kwa haya usiombe nafasi ktk ofisi.

Tujiulize Staha ni kumpa mashtaka ya uongo na kumtunza gerezani siku 414? Mdude leo anaonekana 'drug dealer' mtu ambaye havuti hata sigara, nani amemuomba radhi? Halafu mnataka kumpangia jinsi ya kutoa maoni yake na hata hisia zake mnataka kuziratibu... Nyie hisia zenu nani anaziratibu?

Ieleweke wazi ukiwa ofisi ya Umma, kubali kukosolewa, kusemwa, kuhadharishwa. Muradi Katiba na sheria za nchi zisivunjwe.

ANAYEONA MDUDE AMEKOSEA, ANAWEZA KWENDA MAHAKAMNI KUMSHITAKI AU KUPATA TAFSIRI YA KISHERIA

Ukisikiliza hii nyimbo , jiulize hiyo "Mbwai na iwe Mbwai" ni nini?. Ndo staha?. Lakini kiuhalisia ina maana nyingi na inaweza isiwe hiyo ya shari tunayohisi imemaanishwa na waimbaji.
 
Ile kauli haina shida

Ni mhemko tu wa wakosoaji hasa ukizingatia aliyeambiwa ni mwanamke basi watu wanaonea huruma jinsia bila kujali kwamba anayeambiwa ana madaraka ya kuweza kuwaumiza watu asipoheshimu katiba.
Inshort Mdude alimaanisha "Akizingua kama mtangulizi wake nao watamzingua na kumkosea heshima kama walivyofanya kwa Jiwe kwa Staili(Wembe) ileile"

Haina tofauti na kauli ya mama ya "Ukizingua ntakuzingua"
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana

View attachment 1837535
View attachment 1839252
Mbona Heri James Mwenyekiti Wa UVCCM alipomwambia Lissu kama Alikoswa kwa Risasi Safari ni SINDANO hamkukemea? Acheni UNAFIKI
 
mdude ni shujaa. amnyoe huyu kama alivyo mnyoa mtangulizi wake lakini akumbuke na yeye atanyolewa na huyu kama alivyo nyolewa na mtangulizi wake.
 
Mbona Heri James Mwenyekiti Wa UVCCM alipomwambia Lissu kama Alikoswa kwa Risasi Safari ni SINDANO hamkukemea? Acheni UNAFIKI
Hizi ndio Siasa nzuri kwa Ccm
Screenshot_20210704-125136_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom