Mimi sio mwanasiasa sipendi siasa pia ila Kama mwananchi raia wa Tanzania niseme ukweli kuwa huyu Mdude wa Chadema, amenikera Sana tena Sana kwa maneno machafu Sana kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu hasani, mama amekuwa muungwana Sana katika muda huu mfupi alokuwa Rais, Nakushauri Mdude na Chadema tumieni lugha za staha, kwa watanzania wenzangu tuwatambue vichaa, wakikunja ngumi barabarani sisi tuwapishe tusonge mbele tujenge nchi na mama Samia, tukiwakunjia ngumi vichaa wapitao barabari watatuona sisi ni vichaa pia, Rais pole kwa uvumilivu wako, wenye akili tupo nyuma yako kazi iendelee, Mwenyezi Mungu akupe moyo wenye Subra na uvumilivu, Watanzania tunajua kuchambua jema na baya